Advanced Diploma in Dermatovenereology (ADDV)

_pjc_

Member
Aug 25, 2019
57
29
Samahani wanajukwaa,

Ninaomba kufahamishwa juu ya kozi tajwa hapo juu inayotolewa na chuo cha Muhimbili katika hospitali ya KCMC chini ya RDTC, hususani unatambulikaje baada ya kuhitimu hiyo kozi, salary scale yake serikalini, ajira zake, majukumu yake ya kazi na mengineyo.

Karibuni wanajukwaa kwa kuchangia
 
Hii course kwa Kuajiriwa serikalini mshahara mi mdogo sana. Scale utalipwa kama Clinical Officer. Japokuwa watakutumia to the maximum kuona wagonjwa wa ngozi..ukibahatika kupata mradi magomjwa yq ngozi sehemu ya kazi pengine utanufaika zaidi.

Kwa ufupi pale KCMC COURSE ZA RDTC NA ORTHOTICS zimekuwepo miaka mingi. Na kwa Africa ndio sehemu pekee ukiacha ethiopia kuanza kutoa mafunzo.
Nigeria, Ghana South Africa wametrain watu wao na kisha kufungua vyuo.nchini mwao. Trainee amboa wanalipwa pesa nyingi nchini kwao.
 
Kwa hiyo kiujumla unamshaurije mtu anaetaka kwenda kusoma kozi hiyo
 
Hii course kwa Kuajiriwa serikalini mshahara mi mdogo sana. Scale utalipwa kama Clinical Officer. Japokuwa watakutumia to the maximum kuona wagonjwa wa ngozi..ukibahatika kupata mradi magomjwa yq ngozi sehemu ya kazi pengine utanufaika zaidi.

Kwa ufupi pale KCMC COURSE ZA RDTC NA ORTHOTICS zimekuwepo miaka mingi. Na kwa Africa ndio sehemu pekee ukiacha ethiopia kuanza kutoa mafunzo.
Nigeria, Ghana South Africa wametrain watu wao na kisha kufungua vyuo.nchini mwao. Trainee amboa wanalipwa pesa nyingi nchini kwao.
Ni kukosoe kidogo tu kwenye scale ya Mshahara ,yeye hutambulika Assistant medical officer (AMO) na mshahara wake ni level ya AMO siyo clinical officer.

Pili udahili wake wanachukua wale waliomaliza Advanced diploma in clinical medicine ,Bachelor in clinical medicine and surgery.

Tatu ,Mhitimu anaweza kusoma Master's degree in dermavenology kwa nchi za Cuba au China tu.

Nne,Kuna watu wanachanganya kwenye udahili wakihisi ile kozi wanachukua CLINICAL officer Watanzania .Wanachukua AMO tu
 
Naomba nikurekebishe kwenye kipengele namba nne
Hii kozi kwa sasa wanaodailiwa ni clinical officers
 
Ni kukosoe kidogo tu kwenye scale ya Mshahara ,yeye hutambulika Assistant medical officer (AMO) na mshahara wake ni level ya AMO siyo clinical officer.

Pili udahili wake wanachukua wale waliomaliza Advanced diploma in clinical medicine ,Bachelor in clinical medicine and surgery.

Tatu ,Mhitimu anaweza kusoma Master's degree in dermavenology kwa nchi za Cuba au China tu.

Nne,Kuna watu wanachanganya kwenye udahili wakihisi ile kozi wanachukua CLINICAL officer Watanzania .Wanachukua AMO tu

Kwa hiyo kiongozi mtu akihitimu hii kozi utambulika kama AMO?
 
Samahani wanajukwaa,

Ninaomba kufahamishwa juu ya kozi tajwa hapo juu inayotolewa na chuo cha Muhimbili katika hospitali ya KCMC chini ya RDTC, hususani unatambulikaje baada ya kuhitimu hiyo kozi, salary scale yake serikalini, ajira zake, majukumu yake ya kazi na mengineyo.

Karibuni wanajukwaa kwa kuchangia
Atatambulika kama Daktari.
Kwani kuna utambulisho mwingine zaidi ya huo?
 
Tupe reference mkuu..!
Big no!

Soma tena vigezo!

Vigezo vinasema admission is for AMO for Tanzanians na Clinical officers for foreners.

Wakiwa na maana nchi kama Kenya ukiwa na Advanced /Higher diploma in clinical medicine utaendelea kuitwa Clinical officer,kwa maana hiyo clinical officers wa nchi za nje ni wale waliosoma kwanza Advanced/Higher diploma .

Kwa taarifa tu clinical officers wa Tanzania wangekuwa wanaruhusiwa kwa namna wengi walivyo na hamu na shule lakini vigezo vinawapiga chenga hii kozi ingekuwa Ina jaa sana !
 
Umemaliza yote mkuu.! Thumb up
 
Kiongozi wanachukua hadi clinical officers nakuambia hivyo kwa sababu nilishawahi hadi kufanya nao mawasiliano wakanielekeza hivyo
Kwa clinical officers wengi kutokuisoma hiyo kozi wengi naona ni kutoitambua
 
Alafu kiongozi upande wa ajira zake upoje maana sijawahi kuona tangazo lake la ajira na swala la mshahara wake
 
Nahisi kama kungekuwa watu wamesoma hii kozi ingekuwa vizuri kama wangetupa mwangaza
 
Kiongozi wanachukua hadi clinical officers nakuambia hivyo kwa sababu nilishawahi hadi kufanya nao mawasiliano wakanielekeza hivyo
Kwa clinical officers wengi kutokuisoma hiyo kozi wengi naona ni kutoitambua
Ni amini hawachukui Clinical officer kwa Tanzania!Wanachukua AMO tu na wanachukua CLINICAL officer kwa nchi za nje !
 
Big no!

Soma tena vigezo!

Vigezo vinasema admission is for AMO for Tanzanians na Clinical officers for foreners.

Wakiwa na maana nchi kama Kenya ukiwa na Advanced /Higher diploma in clinical medicine utaendelea kuitwa Clinical officer,kwa maana hiyo clinical officers wa nchi za nje ni wale waliosoma kwanza Advanced/Higher diploma .

Kwa taarifa tu clinical officers wa Tanzania wangekuwa wanaruhusiwa kwa namna wengi walivyo na hamu na shule lakini vigezo vinawapiga chenga hii kozi ingekuwa Ina jaa sana !

Hahahahaha we jamaa inaweza kua ni clinical officer maana umeongea point tena kwa hisia sana....et vigezo vinawapiga chenga very true mkuu
 
Ni amini hawachukui Clinical officer kwa Tanzania!Wanachukua AMO tu na wanachukua CLINICAL officer kwa nchi za nje !

Unachokiongea weee nisahihi kabisa mbona hata guide inajieleza kua AMO ndio wanaenda..???
 
Ni amini hawachukui Clinical officer kwa Tanzania!Wanachukua AMO tu na wanachukua CLINICAL officer kwa nchi za nje !

Mkuu kama ukipata mda pitia kwenye website yao chukua namba zao uwapigie uwaulize kuhusu entry requirements tena hawahitaji hata maswala ya gpa

Kwenye website yao ni entry requirements hazijawa updated hilo unalolisema ilikuwa ni zamani kabla AMO haijafutwa lakini kwa sasa wanawatrain clinical officers kwa hii kozi
 
Kwanini unaleta ubishi kwa kitu ambacho huna uhakika nacho Mimi niko mwaka pili kozi hii.Ninaelewa Mwanzo mpka mwisho !Nairudia tena hawachukui Clinical officer wa Tanzania
 
Hivi kwa sasa hivi kama ni clinical officer nikitaka kusoma Hii nafanyaje..??
 
Back
Top Bottom