Ajira za ukufunzi vyuo vya ualimu vya serikali

Ajira za ukufunzi vyuo vya ualimu vya serikali

Binafsi sijawahi ona tangazo la kazi kwa vyuo vya diploma kama ilivyo vikindu teachers college, nachingwea, mtwara, n.k

Nilishawahi kusikia kuwa ajira zao mara nyingi inakuwa kwa walimu wa sec, yaan walimu wa sec hupandishwa vyeo na si freshers. Sina uhakika lakini
 
Zamani watu walikuwa wanaajiriwa moja kwa moja vyuoni lakini siku hizi mambo hayapo hivyo wanachukua walimu wenye daraja F kwenda kufundisha vyuoni.
 
Back
Top Bottom