Abdalla Mohd Ali
Member
- Jul 8, 2022
- 21
- 7
Kuna kijana hapa kamaliza kidato cha sita anataka asomee hii kozi
Kozi ambazo hutakuja kulia niKuna kijana hapa kamaliza kidato cha sita anataka asomee hii kozi
kama ni passion yako toka zamani na unaipenda nenda kasomeKuna kijana hapa kamaliza kidato cha sita anataka asomee hii kozi
Mechanical kuna jamaangu aliisoma yupo kitaa tu 5 years nw....ila kila mtu ana bahati yake.Kozi ambazo hutakuja kulia ni
Civil
Electrical
Mechanical
Kila la kheri
Ndio chemcal engeneering and ProcessingYou mean chemical processing engineering? Kasome tu, utatoboa kwenye tanzania hii ya viwanda.
Kwanini unamsingizia huyo kijana wakati muhusika ni wewe?Kuna kijana hapa kamaliza kidato cha sita anataka asomee hii kozi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanini unamsingizia huyo kijana wakati muhusika ni wewe?
Mechanical kuna jamaangu aliisoma yupo kitaa tu 5 years nw....ila kila mtu ana bahati yake.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Uhakika [emoji817]Atakuwa hajui kutumia arduino na rasberry pi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nuclear science ni nzuri piaKozi ambazo hutakuja kulia ni
Civil
Electrical
Mechanical
Kila la kheri