Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Unaweza kumjengea msingi mtoto wa kufaulu au ni akili zake mwenyewe na kujielewa kwake natamani nione mafanikio ya kijana wangu Sasa sijajua mafanikio katika masomo yanatokana na juhudi binafsi tu...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa kutoa maoni yangu katika upangaji wa ratiba katika vyuo mbalimbali hapa nchini. Naomba Wizara ya Elimu na wahusika kupitia ratiba za masomo vyuoni. Imekuwa kawaida sasa kuona...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza naishukuru sana serikali na wizara ya elimu kwa kujitahidi kuhakikisha kuwa kila mtanzania anapata nafasi ya kufikia walau elimu ya sekondari bila malipo. Nikiwa nimefundisha shule za...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni mwalimu wa sekondari kwa miaka kadhaa, kwa kipindi kirefu nimekua na Interest ya kufundisha Vyuo vya Kati. Kwa sasa nadhani ni wakati muafaka wa kutimiza hii azma yangu. Naomba mwenye kujua...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, kama kuna uzi naomba niunganishwe tu Naomba kujua walimu wenzangu huko mlipo hadi kufikia siku mmefunga shule mmefikia wapi kuhusu maazimio ya kazi? Maana mwaka huu unaoisha nikikumbuka...
1 Reactions
11 Replies
940 Views
Habarini wadau Nimependezwa mno na kazi za melini. naomba kama kuna Mdau anafanya kazi kwenye cruiseship anipe muongozo kozi gani za kusoma ili niweze kupata kazi kwenye cruiseship Asanteni sana
1 Reactions
1 Replies
615 Views
Mtu aliyehitimu diploma ya kada ya Pharmacy anaweza kujiendeleza kama MD (Medical Doctor) katika shahada? Nilikuwa naomba mwenye ufahamu anisaidie.
2 Reactions
50 Replies
10K Views
Kuna vitabu vya huyu mwamba, naona ameandika vitabu vingi vya maths advanced. Nimejaribu kuwasiliana nae akanitumia vingine vingi tu! Nawewe jipatie na unaweza kumwambie tu neno ASANTE sio lazima...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
yupo expart wa masomo ya physics na mathematics kwa o- level ni mhitimu wa diploma katika course ya engineering ana uwezo mzuri wa kufundisha....call kwa maongez 0733480567 mwalimu yupo iringa
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za asubuhi, Leo ndio tar 27, kuna mwombaji wa mkopo yoyote yule ambaye amepata update kwenye dirisha la tatu? Kwa ndugu yangu ngoma bado mbichi.
3 Reactions
267 Replies
24K Views
Naomba msaada wa review classes mitihani ya bodi mkoa wa morogoro.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Unakumbuka enzi izo za vibomu? wengine wakiita nondo, uangaliziaji na makamati ya kimkakati wakati wa mitihani mashuleni? ujanja ujanja wa kila namna ilimradi tu watu wafaulu mitihani. Baadhi ya...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Nahitaji kujua kozi inayohusiana na graphics designing na motion graphics chuon, ni course ipi naweza kwenda kuisoma kwa wanaofaham?!
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu kwa wale wadau wa elimu naombeni mnipe changamoto za twisheni ili niweze kuzihandle vizuri.. Lengo nipige kuanzia darasa la 1 adi form 6 Leo nimeanza na 5 form 4 watarajiwa vipi niwafanyie...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Mtoto mwenye kipaji anapopangiwa kwenda kusoma shule isiyo ya umahiri (isiyo ya vipaji) huyu kipaji chake kitakua ktk mazingira ya shule isiyoendana naye?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kati ya hizo hapo juu,..tupia coment yako ipi ni nzuri,ngumu na yenye maslahi zaidi? 2pia mshahara wa kila moja kama unajua! [Updated-boy"0768260834"]
0 Reactions
121 Replies
14K Views
Help
1 Reactions
4 Replies
884 Views
Habari Wana JF, nilkuwa nataka kujua kuhusu coz ya MOTOR VEHICLES MACHENICAL pale veta Je, lazima uanze na level ndogo au unaweza ukanza at na level 2 ..na huwa inachukua muda gani kusoma long kozi?
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndg zangu habari za leo. Mwanangu amechaguliwa kujiunga na hii shule. Wameandika pale kuwa ni shule teule je Ina bweni. Swali la kizushi. Ina nini unique wanaojua wanijuze
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…