Mhitimu wa Diploma ya Famasia anaweza kujiendeleza kada ya MD?

Hapana hapana haiwezekani pharmacy inambana mhitimu kuendelea na facult nyngne lakini kama angekua Clinic officer anawez kujiendeleza kusoma pharmacy,Medical lab,radiologist, n.k n.k
Yani hata huyo Clinical officer hawezi kusoma hizo kozi zingine.

Requirements zimeweka in a way such that hamna kuingiliana fani.

Labda wale waliosoma Degree za science zenye masomo ya Chemistry, Biology wanaweza kusoma tena MD na kozi zingine za Afya.
 
Hata hiyo ya degree izo za sayansi kusoma kozi yeyote ya afya nayo imeondolewa. Mwisho ilikuwa ni 2019.
 
Yani hata huyo Clinical officer hawezi kusoma hizo kozi zingine.

Requirements zimeweka in a way such that hamna kuingiliana fani.

Labda wale waliosoma Degree za science zenye masomo ya Chemistry, Biology wanaweza kusoma tena MD na kozi zingine za Afya.
Kaw sasa mtu C.O anasomea nini degree ?
 
anasoma Medical Doctor (MD) 5years. Lakin endapo pass za Advance znaruhusu au GPA ya diploma
Anatakiwa we na vigezo vyote yaani advance na diploma au hata akiwa na diploma yake na G.P.A inayotakiwa anaenda ?
 
Anatakiwa awe na Vigezo vyote.

Kama ana diploma ya Clinical Officer na GPA ya 3.5>. akitaka kusoma bachelor watarud kweny chet cha form4 huwa wana consider Math Chemistry Biology Physics na Englsh anatakiwa awe na pass Kuanzia C kwa hayo masomo.
 
Back
Top Bottom