Pakua baadhi ya material ya advanced level hapa

Itug

Senior Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
198
Reaction score
73
Kuna vitabu vya huyu mwamba, naona ameandika vitabu vingi vya maths advanced. Nimejaribu kuwasiliana nae akanitumia vingine vingi tu! Nawewe jipatie na unaweza kumwambie tu neno ASANTE sio lazima pesa! Pia kama namapingufu mahalimahali msaidie!
View attachment Sets 2.pdf
View attachment The circle third edition.pdf
View attachment The Earth as a sphere (2).pdf
View attachment Logic 3.pdf
View attachment 4. Coordinate 1.pdf
View attachment BAM 1.pdf
View attachment CALCULATING DEVICES (FORM FIVE).pdf
Kwa vitabu vya O-level na A level wasiliana nae!
 
TIE wamemwgaga mzigo wa kutosha, vitabu vinaozea maktaba.
Kwa hiyo, hoja yako iko wapi hapo? Maktaba ipi? Unadhani access ya maktaba ni rahisi kwa kila mwalimu/mwanafunzi?

TIE ni hardcopy, softcopy za TIE kuzitumia ni online tu! Mimi nimewapa notes. Kama huna hoja ya msingi bora kutulia!
 
Sio kweli softcopy ya tie kusoma ni online tu unaweza kudownload

Mm nna softcopy karbia zooote.

Pia wenye uhitaji wa chandy principle of physics A level wanicheki pm tuongee

Pia nelkon na ABBOTT principle of physics
 
unadhani ni salama sana kuwa na online copy halafu wewe unatumia offline?

Kama unalink ya vitabu (visivyokuwa na copyrights issues tu) weka hapa! Achana na biashara za inbox!
Vinginenvyo tukanunue madukani!!

Baada ya hayo:-
Mimi nimeweka kazi za mwl mwenzangu alizozitoa free kabisa, sio kuzuia usitumie chand wala vitabu vya TIE, la hasha! Kuona tu vip tunapata ladha tofauti tofauti!

Kama nimekukera kwa kupost hivyo vijitabu pita hivi!
 
Povu
 
Back
Top Bottom