Walimu tupeane updates kuhusu kazi yetu

Walimu tupeane updates kuhusu kazi yetu

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
3,118
Reaction score
4,238
Habari, kama kuna uzi naomba niunganishwe tu

Naomba kujua walimu wenzangu huko mlipo hadi kufikia siku mmefunga shule mmefikia wapi kuhusu maazimio ya kazi?

Maana mwaka huu unaoisha nikikumbuka hadi nachoka. Tuliazimia kwa kurudia si chini ya mara tatu.

Sasa mwaka huu ujao tena naona kama inataka kurudia ile hali maana hatujapewa mwongozo wowote hata shule tumefunga kwa kalenda ya mtandaoni tu.
 
Kuna fursa za ualimu zimetolewa kwa upendeleo maalum kule UK,jaribu kwenda kupata zaidi ya 50k usd per year! But oops inabidi uwe passport holder wa Zimbabwe, SA, Nigeria au Ghana, tumekosea wapi kama nchi?,Rwanda 🇷🇼 nayo ina recruits waalimu from Zimbabwe 🇿🇼 na sio jirani zake!
 
Thank you teachers [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Screenshot_20221214-153815_Chrome.jpg
 
Tatizo la walimu wengi wanaidharau sana kazi ya ualimu ila kuacha hawataki kuacha kabisa a wanaishia kulalamika tu
 
Back
Top Bottom