MD HIKO JUU SALARY 1milion na machenchi kadhaaa
Dokta ni dokta tu!! Wa wanyama au binadamu wote ni wamoja!!!
maisha ya binadamu na maisha ya ngombe yapi yana umuhimu??..ukisha jua jibu then mwenye maslahi utamjua na penye ugumu utapajua vile vile
Kati ya hizo hapo juu,..tupia coment yako ipi ni nzuri,ngumu na yenye maslahi zaidi? 2pia mshahara wa kila moja kama unajua! [Updated-boy"0768260834"]
Kwani wewe unataka wakulipe sh. Ngapi Mh.
Ngoja zeduduz ajee ,ila MD inamaslahi sanaa kisalary , 1,100,000/= , ,dokta wa mifugo ni kama kwenye 900,000/
Ngoja zeduduz ajee ,ila MD inamaslahi sanaa kisalary , 1,100,000/= , ,dokta wa mifugo ni kama kwenye 900,000/
mmhh mwenye diploma ndo anapokea 900,000 ila degree kama 1,500,000(bvm) na 1100000(MD) sema hao wa pili marupurupu mengi.....N.B: i stand to be corrected na sitaki matusi
Japo nimeachana na maligi lakini tukienda hivi tunapotoka aseee...
Mbona hii mada ni nzuri na ina mantiki kubwa,mimi sioni ubaya wowote hapa,ndugu yangu kama hauna mchango ni bora ufyate mdomo kuliko kukashifu na kudhiha vitu vya maana
Hot topic
mmhh mwenye diploma ndo anapokea 900,000 ila degree kama 1,500,000(bvm) na 1100000(MD) sema hao wa pili marupurupu mengi.....N.B: i stand to be corrected na sitaki matusi
Kati ya hizo hapo juu,..tupia coment yako ipi ni nzuri,ngumu na yenye maslahi zaidi? 2pia mshahara wa kila moja kama unajua! [Updated-boy"0768260834"]
mkuu huu ni uongo wa kupitiliza embu tupe source za data zako..hakuna diploma anayelipwa hiyo hela kama starting salary bongo hii period!!
Kuhusu uzuri hapa inategemeana na desires za mtu mmoja mmoja....
Kuhusu ugumu hapa naona bila ubishi BVM ni hatari...nakumbuka kuna jamaa aliniambiaga cozy ngumu zaidi TZ ya kwanza ni BVM na ya pili ni LL,B...
Yenye maslahi zaidi bado BVM iko vizuri,trust me kuna bro'angu analamba 4½M pale peramiho....
Pia ni rahisi kwa BVN kupata kitengo kizuri mkoani,wilayani,manispaa nk