Wakuu naomba tuhusike na kichwa cha habari hapo juu kwa kupeana taarifa na ushauri kama wadau wa Elimu ya juu. Asanteni kwa kusaidiana kama ilivyo mila na desturi Yetu wana Jukwaa hill...
Habari wakuu,
Samahani naomba msaada kuna dogo anataka kusoma kuhusu haya mambo. Course gani bora kati ya logistics and shipping na transport and chain management?
Naombeni mchango wenu.
Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha...
Habari wana JF ninaomba kuuliza kwa kujua je nitaruhusika kufanya mtihani wa Advance kama ikiwa kwenye matokeo yangu ya O level nina
PHYSICS-D
HISABATI-C
ENGLISH L-C
HISTORY-D
CHEMISTRY-C...
Habari za humu ndani?
Bila shaka wote ni wazima. Nina mdogoangu amepata division 3 ya 23 na ufaulu wake ni:
physics-D
CHEMISTRY-D
BIOLOGY-C
B/MATH-F
ENG.-D
Baada ya necta kuja na utaratibu mpya wa kutotangaza shule vinara kwa kila upande ni wazi wametoa fursa kwa wadau kufanya utafiti juu ya matokeo haya na kufanya uchambuzi.
Pamoja na necta...
Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023??
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka huu 2022. Kidato cha nne...
Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza
Ni ujinga wa kiwango Cha juu sana kumlinganisha mwanafunzi ambae Ili aifikie shule anatembea km 1 au zaidi na mwanafunzi ambae anasoma na kuishi shuleni...
Wapendwa habari,
Naomba nijitokeze hapa na kero ya shule ya msingi kisemvule pwani. Wadau wa elimu, shule hii imesahaulika kabisa?
Shule hii haina madawati, madarasa machache. Shule hii ina...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo January 29,2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye matokeo...
Kuna utitiri wa kozi zinafundishwa vyuoni zinazosababisha unemployment rate katika taifa letu kukua kwa kasi.
Nabadala yake watoto wanahitimu hizo kozi wanabaki hawana ajira lawama zote zinabaki...