Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,312
- 40,136
.
Si kweli, nina mtoto yupo form six hapo Kaizirege silipi ada hiyo labda wamenionea hurumaANDAA ADA M 12 KWA MWAKA.
Si ndio useme sasa hiyo ada unayolipa!!!Si kweli, nina mtoto yupo form six hapo Kaizirege silipi ada hiyo labda wamenionea huruma
Ada ni shs. Milion 3.7 kama ni mwanafunzi mpya kuna amount inaongezeka kidogo kwani kuna mambo ya kiingilio na makorkoro mengine madogodogoSi ndio useme sasa hiyo ada unayolipa!!!
Au ni siri?
Wako alipokwenda kuingia pamoja na hayo makorokoro alilipia jumla kiasi gani?Ada ni shs. Milion 3.7 kama ni mwanafunzi mpya kuna amount inaongezeka kidogo kwani kuna mambo ya kiingilio na makorkoro mengine madogodogo
Jumla ilifika 3,980,000Wako alipokwenda kuingia pamoja na hayo makorokoro alilipia jumla kiasi gani?
Usichoke mkuu unatusaidia wengi.