Wise Mbuya
New Member
- Jul 28, 2020
- 1
- 2
Wapendwa habari,
Naomba nijitokeze hapa na kero ya shule ya msingi kisemvule pwani. Wadau wa elimu, shule hii imesahaulika kabisa?
Shule hii haina madawati, madarasa machache. Shule hii ina wingi wa wanafunzi mpaka walimu wanafundisha wawili darasa mmoja. Ukifika ndani ya shule hii utastaajabu hutajua ni mapumziko au kipindi cha masomo. Wanafunzi wanasomea nje kwenye miti, wanafunzi wanakaa chini.
Asilimia 80 shule nzima haina madawati, wanafunzi wanatoka Mpera na kati ya Vikindu na Kisemvule. Kiukweli shule imeelemewa naombeni wadau mliangalie hili.
Taarifa ziwafikie Mbunge wa Pwani, DC wa Pwani na wahusika wengine.