Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kuna pahala hatuko sawa. Kwanini katika elimu ya vijana wetu Sekondari Somo la Kingereza ni lazima lakini somo la Kilimo na Biashara ni uchaguzi? Nawaza kwamba Kilimo na Biashara yawe lazima...
1 Reactions
3 Replies
637 Views
Samahani Waungwana nahitaji maelekezo. Nina Certificate of journalism ila nataka kwenda kuchukua Diploma ya Banking and Finance Pale IFM je inawezekana? Form Results Geo-C English-B Bios-B...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habar...Nilikua naomba mawasiliano ya mtu yoyote aliyesoma au anayesoma (MD) katika chuo chochote cha afya (Uganda) ilikupata a,b,c
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Washkaji wote waliosoma Tambaza enzi zileeee big up sana Mnamkumbuka nyau, Mwl. Mushi, LIle sooo la Kuwatwanga Jitegemee sec, Kakonda kalidanji mitaa ya Keko, Mnakumbuka ile mikanda uliyokua...
4 Reactions
52 Replies
13K Views
Wanafunzi wamekuwa wakimlalamikia juu ya ufundishaji wake wa somo la TEHAMA kuwa ni msumbufu. Nikiongea na mwanafunzi ambae alikataa kutaja jina lake na level (Mwaka wa masomo) alisema Mwakalonge...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Watahiniwa 93,136 (98.97%) wamefaulu Mitihani yao, ikielezwa Wasichana ni 40,907 na Wavulana ni 52,229. Aidha, Baraza la Mitihani (NECTA) limesema jumla ya Watahiniwa 83,877 (99.24%) wamefaulu...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Naombeni msaada tafadhali. Je nitapata seminari ya kiislamu inayo FANYA vizuri ambayo huyu mtoto ataenda kusoma bila kulazimika kuwa muislamu? Mfano kutakiwa kuswali, kujifunza koroani etc...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Salaam wakuu. Huyu ni mtoto wa kike, amehitimu kidato cha nne. Naomba ushauri asome course gani au fani gani inayoendana na ufaulu wake na ambayo hatokwama kupata kazi baada ya kuhitimu...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Hi wakuu Kuna pesa nimekatwa kimakosa na HESLB. Mimi sikusoma kwa mkopo. Je nafanyaje ili nirudishiwe hizo pesa.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba kuuliza course hii ya Ku opperete hivyo vifaa hapo juu veta ni bei gani na unasoma Kwa muda gani? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mara nyingi nimekua nikiandika hili suala humu kuwa elimu ibadilishwe kwan haifai kabisa. Mwaka huu hawajatangaza shule Bora Wala mwanafunzi Bora. Wachambuzi wa ITV wengi wametoa mawazo mazuri...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu mdogo wangu kapata div 4 ya 33. Ana ufaulu huu hapa kisw C, hist,F civ F, geo F, bio F, eng F, math F, Nishaurini anafaa kusomea nini au ni sehemu gani itakayomfaa maana hapa natafakari na...
5 Reactions
56 Replies
4K Views
Walimu hawana utu wala huruma, sasa wameamua liwalo na liwe. Piga, uwa, garagaza. Hawajali tena namna ya upigaji, mtoto wa kike apigwe mkononi, wa kiume matakoni. Walimu wanapiga ngumi wanafunzi...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Wakuu. Naomba ufafanuzi nataka nikasome IT Ila Kama tunavyojua IT Ina vipati bingo mfano (Security, networking, system Administrator, code).. binafsii nataka nakasome kitu kimoja ili nikijue...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Ili kuboresha elimu yetu, ni wakati sasa Serikali kupima uelewa wa walimu inao ajiri. Shule binafsi haiwezi pokea Mwalimu bila usaili na kumuona kama atawafaa au la. Serikali kama inafanya...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Msaada kwa yeyote anayeelewa kuhusu logistics as a field nina mdogo angu anaenda kuchukua Logistics and transport management alikuwa anahitaji msaada na uelewa kuhusu hii course especially kwenye...
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Hello walimwengu. Nimesitika sana na kauli yenye ufinyu wa fikra na mizania mbovu sana, dhana yao ya utofauti wa mazingira ya kusomea ya wanafunzi na mashule mbalimbali mbona haijatumika kutunga...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo...
4 Reactions
126 Replies
6K Views
Utaratibu mzima wa mipango ya elimu na utekelezaji wake kwa kiasi kikubwa unatia mashaka sana. Kwa muda mfupi nimeweza kuona mambo yafuatayo ambayo hayaridhishi na hayawezi kusukuma utekelezaji...
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Civic~D, Hist~C, Geog~C , Kisw~B, Eng~D, Phy~D, Chem~C, BioC B/math~F
0 Reactions
5 Replies
768 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…