Mtoto wa Kike kwa matokeo haya akasome nini?

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,553
3,515
Salaam wakuu.

Huyu ni mtoto wa kike, amehitimu kidato cha nne.

Naomba ushauri asome course gani au fani gani inayoendana na ufaulu wake na ambayo hatokwama kupata kazi baada ya kuhitimu. Sitaki aende A- level ( form 5 & 6).

CIV - C.
HIS - C.
GEO - C.
KISW - C.
ENGL - B.
PHYS - D.
CHEM - B.
BIOL - B.
MATH - C.
 
Yaani wazazi na walezi minkosea sana. Mtoto by this age inabidi ajue anataka nini maishani. Yaani wewe ndo unauliza asome fani gani? Ina maana hata shuleni hakuwa na focus. Ni twende turudi. Wasaidieni wanenu wajielewe wanataka nini kwenye maisha na sio kusubiri circumstances ziamuru.

NB. Kwa jibu la swali lako muulize yeye anataka nini
 
Salaam wakuu.

Huyu ni mtoto wa kike, amehitimu kidato cha nne.

Naomba ushauri asome course gani au fani gani inayoendana na ufaulu wake na ambayo hatokwama kupata kazi baada ya kuhitimu. Sitaki aende A- level ( form 5 & 6).

CIV - C.
HIS - C.
GEO - C.
KISW - C.
ENGL - B.
PHYS - D.
CHEM - B.
BIOL - B.
MATH - C.
Kazi zipo nyingi sana nchi hii. Ajira ndo hamna. Hivyo, mwandae mtoto kwa kazi siyo ajira.

Kwa ushauri wangu asiende F.5 na 6. Mpeleke Chuo cha Bahari akasomee fani za ubaharia au Chuo cha Madini, Dodoma. Hatajuta.
 
Salaam wakuu.

Huyu ni mtoto wa kike, amehitimu kidato cha nne.

Naomba ushauri asome course gani au fani gani inayoendana na ufaulu wake na ambayo hatokwama kupata kazi baada ya kuhitimu. Sitaki aende A- level ( form 5 & 6).

CIV - C.
HIS - C.
GEO - C.
KISW - C.
ENGL - B.
PHYS - D.
CHEM - B.
BIOL - B.
MATH - C.

Kama anatakA form 6 akasome PCB private
 
Salaam wakuu.

Huyu ni mtoto wa kike, amehitimu kidato cha nne.

Naomba ushauri asome course gani au fani gani inayoendana na ufaulu wake na ambayo hatokwama kupata kazi baada ya kuhitimu. Sitaki aende A- level ( form 5 & 6).

CIV - C.
HIS - C.
GEO - C.
KISW - C.
ENGL - B.
PHYS - D.
CHEM - B.
BIOL - B.
MATH - C.
Akapige pharmacy chuo then Bachelor huto juta
 
Mkuu kama sky it's the limit,mpeleke Zimbabwe akasome Form 5&6,then wakati yupo anamalizia F6,zile marks za mock mwombee pale UCT akasome BSc in chemistry au mwombeee Stellenbosch University akasomee BSc in Agriculture (best university in the world kwa degree hii)wekeza kwenye elimu ya mtoto wako, na binti huyu ana kila opportunity ya kufika mbali,pls don't let her down
 
Salaam wakuu.

Huyu ni mtoto wa kike, amehitimu kidato cha nne.

Naomba ushauri asome course gani au fani gani inayoendana na ufaulu wake na ambayo hatokwama kupata kazi baada ya kuhitimu. Sitaki aende A- level ( form 5 & 6).

CIV - C.
HIS - C.
GEO - C.
KISW - C.
ENGL - B.
PHYS - D.
CHEM - B.
BIOL - B.
MATH - C.
CBG then aende Environmental laboratory
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom