Nina Certificate of journalism ila nataka kwenda kuchukua Diploma ya Banking and Finance Pale IFM je inawezekana?

Smart codetz

Senior Member
Jan 25, 2023
180
703
Samahani Waungwana nahitaji maelekezo.

Nina Certificate of journalism ila nataka kwenda kuchukua Diploma ya Banking and Finance Pale IFM je inawezekana?

Form Results
Geo-C
English-B
Bios-B
Civics-C
Hist-B
Kisw-B
Math-F
 
Kwanini ulienda certificate?
Kwa matokeo hayo Ungeenda HGL au HGE ( hii sina hakika).
Baada ya miaka 2, ungekuwa unachua shahada.
Labda ni kukosa kwangu uelewa, ila naona elimu ya kuanzia Vyeti ni kama ya kuunga Unga.
 
Samahani Waungwana nahitaji maelekezo.

Nina Certificate of journalism ila nataka kwenda kuchukua Diploma ya Banking and Finance Pale IFM je inawezekana?

Form Results
Geo-C
English-B
Bios-B
Civics-C
Hist-B
Kisw-B
Math-F
Unaenda IFM kuchukua au kusomea? Elimu ikekuwa utopolo sana unaenda kuchukua 😆😆😆
 
Back
Top Bottom