Walimu wafanyiwe Usaili

Walimu wafanyiwe Usaili

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,321
Reaction score
103,591
Ili kuboresha elimu yetu, ni wakati sasa Serikali kupima uelewa wa walimu inao ajiri.

Shule binafsi haiwezi pokea Mwalimu bila usaili na kumuona kama atawafaa au la.

Serikali kama inafanya usaili kwenye kada nyingine, kwanini hili kundi halifanyiwi usaili?

Kuna walimu wengi ukiwapa maswali ambayo hawajawahi yaona ila topic ile ile wanapotea kabisa.

Walimu wengi wanafundisha kwa mazoea

NB:

Nina ndugu, marafiki, mashemeji ambao ni walimu
 
1. Siyo walimu wote ni walimu. Wengi wameingia kwenye fani ya ualimu ili kupata ajira kirahisi na mshiko basi... Lakini miiko, maadili na taratibu za ualimu ni weupe.

2. Walimu wengi ni wale waliopata division 4 na kidogo 3. Ni nadra mwafunzi aliyepa division 1 au 2 kuchagua kuwa mwalimu.

3. Kwa wengi wao, unategemea mwalimu aliyepata division 4 form 4 au 6 awe mahiri wa kufundisha wengine?

4. Serikali nayo kwa makusudi kuamua kuwekeza pesa nyingi kwenye vitu visiyo sahihi badala ya kuwekeza kwenye elimu-kuwalipa mishahara mizuri walimu., kilimo-kujenga miundo mbinu ya umwagiliaji, uapatikanaji rahisi wa mbegu, mbolea, matrekta., viwanda-vidogo, vya kati na vikubwa.

Je kulikuwa na haja gani ya Kmf. Kununua ndege nyingi zisizo na faida, kujenga reli ya sgr badala ya kuimarisha mgr, kuhamia dodoma wakati muda wote wako dar, tanzanite na busisi bridges etc pesa zote zilizotumika kufanya yote hayo zingweza kutumika kufanikisha yote yaliyotajwa hapo juu (4) na nchi ingekuwa imepiga hatua kuliko ilivyo sasa.
 
ni kutwanga maji tu kwenye kinu so long as elimu ni bure,
yaani yule alipe 80m kwa mwaka, wewe ulipe 0 utegemee matokeo/zao sawa kweli
 
Wanafunzi ni kama mbegu hawawezi kufaulu wote au wakifeli wote ni tatizo,ni lazima kwenye actual sense kuwe na diversity,Kwa Nini watu mara zote wanatamani Kila mwanafunzi apate div one na wakati madaraja ya ufaulu yapo ma nne,A,B,c,d na hii ni dunia nzima siyo Tanzania peke yake,watu wanalazimisha Kila mwanafunzi apate division one au two,wanafunzi hata kama wapo darasa moja Kila mmja anauelewa wake
 
Hivi karibuni tumeambiwa tusort form one wasiijua kuandika na kusoma,tuwatengenezee program za kujifunza kuandika
 
Wanafunzi ni kama mbegu hawawezi kufaulu wote au wakifeli wote ni tatizo,ni lazima kwenye actual sense kuwe na diversity,Kwa Nini watu mara zote wanatamani Kila mwanafunzi apate div one na wakati madaraja ya ufaulu yapo ma nne,A,B,c,d na hii ni dunia nzima siyo Tanzania peke yake,watu wanalazimisha Kila mwanafunzi apate division one au two,wanafunzi hata kama wapo darasa moja Kila mmja anauelewa wake
Kwa hiyo kemebos, fezo school, ahmes etc zile 1.7 zao ni feki?
 
Kwa hiyo kemebos, fezo school, ahmes etc zile 1.7 zao ni feki?
No body amesema ni feki watoto wanaoenda hapo wapo vip? Miundombinu IPO vip,Kuna classes katika mfumo wa elimu,tumetengeneza matabaka Kwa pesa,ilitakiwa shule zote ziwe na standard sawa,
 
Kwa mfano swali lipi? Weka mfano halisi hapa
 
Ili kuboresha elimu yetu, ni wakati sasa Serikali kupima uelewa wa walimu inao ajiri.

Shule binafsi haiwezi pokea Mwalimu bila usaili na kumuona kama atawafaa au la.

Serikali kama inafanya usaili kwenye kada nyingine, kwanini hili kundi halifanyiwi usaili?

Kuna walimu wengi ukiwapa maswali ambayo hawajawahi yaona ila topic ile ile wanapotea kabisa.

Walimu wengi wanafundisha kwa mazoea

NB:

Nina ndugu, marafiki, mashemeji ambao ni walimu
kama kuna kada inafuatiliwa kwa karibu ktk utendaji kazi, ya ualimu inaongoza, ndoo maana kuna mpk kitengo cha ukaguzi ambacho kinawakagua waalimu mara kwa mara. wakati kada nyingine toka mtu anaajiriwa mpk anastaafu hajawahi kukaguliwa utendaji kazi wake
 
Back
Top Bottom