Naitwa Mr Avn number solutions kwa Tatizo lolote La Avn number unalokutana nao lol wakati WA maombi karibu the Mt online stationary Tukuhudumie 0622569980
✅ Tunafanya maombi ya Avn number
✅...
👉Habari tunafanya application za Maombi ya leseni za Afya Clinical medicine Hprs, Pamoja na Avn number,
👉Pia Application za Vyuo
👉 Application za Maombi ya Mkopo WA elimu ya juu
👉 Application za...
Naomba kufahamu kama kuna tofauti yoyote kati ya Ordinary Diploma in Medical Clinical Officers na Diploma in Medical Clinical Officers.
Pia, je, HESLB inatoa mikopo kwa wanafunzi waliohitimu...
Naomba mnisaidie kupaza sauti kuhusu changamoto inayowakabili wahitimu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), hususan wanafunzi wa Diploma in Adult Education.
Mimi ni mwalimu niliye kazini...
Vyuo vingi vya makanisa vimepteza dira, zamani vilikuwa vinagusia masomo ya dini lakini sikuhizi vimefuta.
havina utofauti na vyuo visivyo vya dini.
Kwa upande wa wasabato niwapongeze kwa...
G.S lilikuwa somo la ajabu sana kwenye ufaulu unaweza kupiga points 3 ila G.S ukawa na S ila madogo wa siku hizi wanapiga mpaka B G.S nimeshangaa sana.
Madogo mliopiga paper mwaka huu la G.S...
Hello
Nina mwanangu ambae Siku zote alikua na ndoto za kusomea Diploma ya uuguzi. Lakini kutokana na kukosa vigezo Ikabidi ahangaike kutafuta D za masomo ya Sayansi kwa Miaka miwili mpaka...
Habari za kazi.
Naomba kuwasilisha changamoto inayowakabili wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) kuhusu ada kuelekea mitihani ya mwisho ya muhula wa pili wa masomo, inayotarajiwa kuanza...
NACTE na HESLB, mbona hampokei simu wala kujibu barua pepe? Kama huduma hizo hazitumiki, ni bora mziondoe kuliko kuwaacha wananchi wakipoteza muda wakijaribu kuwasiliana nanyi bila mafanikio.
Nazungumza hapa nikiwa ni mmoja wa wanaofuatilia suala hili na ninaomba mamlaka husika zilichunguze kwa kina, baadhi ya wanafunzi wa University of Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa fedha za mkopo...
Mtihani wa kidato cha sita, takwimu zinaonesha kuwa ufaulu kwa watahiniwa wa shule ni asilimia 99.9, ambapo watahiniwa 125,056 kati ya 125,320 wamefaulu kwa kupata madaraja ya I, 2, 3 na 4."...
Wanafunzi wa CBE campus ya Dodoma NTA LEVEL 4, 5 na 6 tupo kwenye preparation week kwaajili ya mtihani wa kumaliza semister ya pili ila course work hatujapata na baadhi ya waalimu hawajakamilisha...
Bodi ya mikopo imekuja na mfumo tofauti tunapata changamoto kwenye upande WA disability form ukiwa unaomba wanahitaji reference number wakati hizo hatuna tunatumia form kutoka kwa DMO au RMO...
Huyu dogo alimaliza form six mwaka 2016 akafeli, sasa karudia sahivi kafaulu ana mawazo eti ataweza, pewa mkopo mana kwao hawana uwezo na anataka kusoma md, nikamwambia ngoja niulize wadau.
Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2024/25
Makala hii inasaidia kuelewa ni kozi zipi ambazo ni chaguo bora, hasa kama bado hujaamua unataka kusoma nini. Shahada...
NECTA wametangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2026 huku wakieleza kuwa, ufaulu umeongezeka. unaweza kuyatazama matokeo hayo kwa Kugusa Hapa.
Baada ya kuona matokeo, unaweza kuuliza swali...
Wenye ufahamu tupeane maujuzi kwani waswahili husema Fikiri kabla ya kutenda
Mtumishi akishafanyiwa recategorization, kutoka utumishi wa idara moja kwenda nyingine, nini hatima ya daraja la...
Nina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi
Naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo?
Nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada.