Tumeshuhudia matokeo mabovu ya kidato cha nne miaka miwili mfululizo, 2010 na 2011. Haya ni matokeo ya siasa uchwara katika mipango ya elimu. Ni wanasiasa wanaoshawishi au kulazimisha mipango...
wakuu napenda kuwatangazia rasmi kuwa kitabu cha somo la economics kwa advanced level katika syllabus mpya kimekamilika. Tafadhal, kwa mawasiliano tuwasiliane kwa simu namba 0767122662 au 0654047387
Kwa miaka ming sasa, mambo yamekua hayaendi sawa ktk hii fani ya UALIMU, ualimu sasa umekua n kama kapu la kutupia uozo wa kila namna, dharau, dhulma na matusi, huku chama cha walimu, ambacho n...
Wadau,
Natafuta partiner ambaye amesajili chuo cha Uandishi wa Habari (Journalism). Nipo sehemu nzuri sana ninauwezo wa kupata wanafunzi zaidi ya 50 na mimi mwenyewe ni mwalimu nikawafundisha...
The age of men..
It is now accepted that the world is in a new geological period - called - Anthropocene.
This simply means the age of man's influence into the global ecosystems, biodiversity and...
kiukweli nashangaa sana bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa maana kama mtu ni emloyeed na government unashindwa nini kumpa mkopo halafu uanze kukaata on the spot ili hiyo hela iweze kuwasomesha...
Wajumbe wa baraza la wawakilishi wamepitisha mswada wa sheria wa Kuunda baraza la Mitihani Zanzibar. awali Jina lililopendekezwa na waziri wa elimu wakati wakiwasilisha mswada ilikuwa ni Kuanzisha...
Activity No 1.-Lodging of applications for applicants who completed
studies between 1988 to 2011(1st APRIL)
activity NO 2-Lodging of applications for applicants who have completed
studies in...
Wanafunzi wa shule ya msingi darasa la 6 na la 7 wafukuzwa shule na kufunguliwa kesi mahakani baada ya kugundulika kufanya mchezo endelevu wa kuwalawiti wanafunzi wenzao.
Source: NIPASHE NEWS...
Hi all. I believe if us Tanzanians took up the challenge to further education, the country would go far. I have come across individuals who have taken it onto themselves to build schools and...
Jamani tunaosoma hii kozi ya it.......tanzania tumekuwa wengi sana......vyuo kibao vinatoa kozi za it.....na wanafunzi kibao wanasoma it.....sijui baada ya miaka mitano ijayo ajira.......sijui...
Nina rafiki yangu ambaye amehitimu kidato cha nne na anahtaji kujiunga na chuo kinachotoa mafunzo ya polisi-trafic. Je,ni nini vigezo vya muhimu vinavyohitajika na muda wa hiyo cozi? Na...
Napenda kuwaomba wanajamvi mnipe angalau cha kufanya ili nipate sponsorship ya kwenda kusoma diploma in electronics and Telecommunication engineering! Jamani naombeni msaada wenu jamani! Mimi...
Kwa busara zenu wa jf hasa katika jukwa hili la elimu naombeni ushauri wenu wa hari na mali.Naomba kufahamishwa zaidi kwa mtu anayetaka/somea journalism and mass communication soko lipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.