Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 724
- 295
Wadau,
Natafuta partiner ambaye amesajili chuo cha Uandishi wa Habari (Journalism). Nipo sehemu nzuri sana ninauwezo wa kupata wanafunzi zaidi ya 50 na mimi mwenyewe ni mwalimu nikawafundisha, sasa huyu partiner ndo anatakiwa atoe vyeti kwa wahitimu. Atalipwa vizuri tu kila kwa kila cheti. Yeyote aliyesajili chuo hicho tuwasiliane plz! NiPM!
Asante.