hello!
mwaka uliopita 2011, Africa ilipoteza mwanaharakati wa Mazingira aliepumzishwa ili aweze anza safari yake ya pili kwa namna ambayo ni ya kirafiki dhidi ya mazingira.
Prof. Wangari...
habari wanaJF naomba mwenye taarifa kuhusu hiki chuo anijuze, je wana evening prog hasa kozi za Sayansi kama Geomatics? Chuo kiko kawe, au Bagamoyo? Ubora?
Wadau naitaji muongozo wa hatua za kufata kusajili chuo kwaajili ya kutoa kozi fupi (short courses) za mambo mbalimbali hasa human resources management.naomba muongozo wenu wadau.
Nimeamini, hatuna haja ya kupiga kelele sana na kuwanyooshea viongozi wa serikali ya nchi yetu vidole kwakuwa wao wanatoka katika 'pool' yetu watanzania tusio na upeo wa kuona mbali, kufikiri kwa...
Habari zenu wanajamii,kwa wale tuliosoma MTWARA GIRL'S SECONDARY, Nasikia eti Mwl. Ngwada(Ngwadakulima) amefariki july mwaka jana,anaefahamu anijuze.
Kwa wasiomfahamu Ngwada, alikuwa mwalimu wa...
Nimeamini, hatuna haja ya kupiga kelele sana na kuwanyooshea viongozi wa serikali ya nchi yetu vidole kwakuwa wao wanatoka katika 'pool' yetu watanzania tusio na upeo wa kuona mbali, kufikiri kwa...
Ni mwezi mmoja umetimia tangu chuo kikuu cha Udom kifunguliwe na wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza college of informatics and virtual education pamoja na Natural science hawajapewa hela za...
poleni na mihangaiko wakuu, nina shida moja naombeni orodha ya vyuo vya canada vinavyonipa admission ya masters bila TOEFL na GRE....wakuu nisaidieni wajemeni
Ndugu wana jamvi wenzangu ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kumaliza masomo yangu.
Nimepata 'Merit' in Msc. Operations Research and Statistics.
Kwenye hii course tulikuwa wanafunzi 15...
`Sign language is the main cause for the deaf students in Tanzania to fail their National exams be it standard 7 or form 4 and form 6 because of the nature of the language(sign language) that it...
Habari wan JF
Mimi ni Mhitumu wa shahada ya kwanza Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Baada ya masomo ya degree yangu ya kwanza nikapata kazi Iringa. Katika kuangalia mstakabali wa kujiendeleza...
Kamati ya wazee
haikubaliani na uamuzi
wa kuwafutia matokeo
wanafunzi wale tu
walioshutumiwa
kufanya udanganyifu bali kuwafutia wote
kwa kuwa mitihani
ulivuja. Kufuatia hoja
hizo za msingi...
Waalimu wa shule ya msingi Mbezi Ndumbwi iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es salaam, wanawaadhibu wanafunzi wasiofanya majaribio ya kulipia wakati wa asubuhi (speed test) kwa kuwakalisha chini...