Ajabu kinachoendelea open university tanzania

MWIGOLA

Senior Member
Apr 21, 2012
173
52
Wajameni kuna kitu cha ajabu kinachoendelea open university of tanzania, wakati graduation ni kesho, mpaka sasa hawajatoa majina ya postgraduate graduands kwenye website yao, kama walivyoahidi kuwa watatoa mapema. Majina waliyotoa ni ya undergraduate na non degree tu. Hii ni ajbu kwa chuo kikuu!!
 
:flock:TUNAYASUBIRI KWA HAMU KUBWA, SIJUI NINI KIMEYAZUIA. UKIWEZA WASILIANA NAO WATUTANGAZIE KINACHOENDELEA. AHSANTE.
 
Wafuatao wamesoma Open university
1.Anne Kilango Malecela
2.Philipo Mulugo
3.Shamshi vuai Nahodha
4.Silyvester Mabumba
5.Kuna jaji anasoma first degree ya sheria
 
Wafuatao wamesoma Open university
1.Anne Kilango Malecela
2.Philipo Mulugo
3.Shamshi vuai Nahodha
4.Silyvester Mabumba
5.Kuna jaji anasoma first degree ya sheria

Asante kwa taarifa. Mbona mada yakop haiendani na primary post content
Lakini nayo ni habari thanks!
 
Asante kwa taarifa. Mbona mada yakop haiendani na primary post content

Lakini nayo ni habari thanks!

sometimes sio lazima utoe coments! unaweza kutoa taarifa kwa wana JF ili wajionee product ya Open university! hata bungeni inaruhusiwa kutoa taarifa.
 
sometimes sio lazima utoe coments! unaweza kutoa taarifa kwa wana JF ili wajionee product ya Open university! hata bungeni inaruhusiwa kutoa taarifa.

Noted with thanks. Mbona unanitisha, ina maana products za OUT ni questionable! ngoja waje wenyewe wadadavue. Lakini hao uliowataja kweli wanatia mashaka!
 
leo ni idd ni vigumu kuyatoa, kesho ndiyo mabo yenyewe, hapo kinachoendelea ni kuwa watakuwa wameshindwa kuyatoa na hivyo walivyosema hapo awali kuwa watatoa ni wamejipinga wenyewe. Hiki ni chuo kikubwa chenye elimu bora sana lakini ambacho katika nyanja ya mawasiliano kina mapungufu makubwa ambayo yasipofanyiwa marekebisho kitashindwa kutimiza maono yake. Kwa inavyoeleweka graduands wote wanajijua; ila sisi wengine tutawajuaje? na walisema watatoa?au kuna siri gani watu tuichunguze katika graduands wa mwaka huu wa open university of Tanzania. hivi inawezekana kwa chuo makini siku hadi siku moja kabla hawana official list ya graduands?
:flock:TUNAYASUBIRI KWA HAMU KUBWA, SIJUI NINI KIMEYAZUIA. UKIWEZA WASILIANA NAO WATUTANGAZIE KINACHOENDELEA. AHSANTE.
 
Wafuatao wamesoma Open university
1.Anne Kilango Malecela
2.Philipo Mulugo
3.Shamshi vuai Nahodha
4.Silyvester Mabumba
5.Kuna jaji anasoma first degree ya sheria

Hee! Nchi hii ina maajabu. Huyo namba 5 amekuaje jaji bila kusoma sheria? Ana diploma au cheti cha sheria? Tutajie jina lake, na kama una c.v yake iliyotumika kumpa huo ujaji
 
Orodha ya graduands 2012 imetolewa, angalia website ya out upate orodha kamili.
 
HII NDO BONGO, UJASIKIA MASTERs YA MZUMBE INAJULIKANA KM au AKA VODA FASTA, MAANA UNIT COVERED NI MPAKA 7 AU 6 KM SJAKOSEA NA INAKUCHUKUA KM 7MONTHS UNAKUWA NA MASTERS, KWELI YA MZUMBE PIA KIBOKO
 
Hiki kinaitwa CHOO kikuu huria hivyo usishangae sana maana hata kwetu kipo.
 
ndugu wananchi: Elimu yetu tumeibaka, na mfumo mzima umeharibika. Kinachoendelea vyuoni na mashuleni ni largerly ni KUTOA VYETI. Yaani kuwapiga mihuri ya elimu raia ili watakapofika kwenye lile geti la ajira 'wasomeke' wana maarifa yanayotakiwa.
Hii kitu itawafaa wachache kwa muda mfupi, lakini kizazi kijacho kitalipia ujinga huu kwa gharama kubwa. Natamani wawepo angalau watu 10 wenye dhamana wa kuliona hili ili angalau kusabisha change of direction.
 
Wafuatao wamesoma Open university
1.Anne Kilango Malecela
2.Philipo Mulugo
3.Shamshi vuai Nahodha
4.Silyvester Mabumba
5.Kuna jaji anasoma first degree ya sheria
Upo anonymous bado unaogopa kutaja jina eti "Kuna jaji anasoma first degree ya sheria" halafu unalaumu kikwete hataji wala rushwa. Chezea uhai wewe? ndo ujue kutaja majina ya wala deals ni noma. Acha woga, lete jina akishika kesi zetu tujue ni kilaza tusiajiri mawakili, tujitetee wenyewe.
 
Nyie mnaomuulizia jaji mlisoma ripoti ya lisu? Au kwa sababu ilikuwa ndefu? Anaitwa mbaruku
 
Back
Top Bottom