Nani anawafahamu hlssf? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anawafahamu hlssf?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kdany, Oct 28, 2012.

 1. k

  kdany Senior Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 150
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  wakuu heshima kwenu,kuna hii NGO inaitwa HIGHER LEARNING STUDENT SUPPORTING FUND wanajitangaza kuwa wanatoa mikopo kwa elimu ya juu,kuna mtu ambae amekwisha nufaika na mikopo yao?au ni wajanja flani.natangulza shukrani.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Matapeli hao.
   
 3. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  eh siwajui hawa watu
  hebu tafuta taarifa zao zote uzitupie hapa inawezekana kampuni ya mtoto wa kigogo hii tena!!
   
 4. G

  Ginner JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  fungua website yao..........wameandika majina kadha wa kadha ya watu waliopata mikopo kwa mwaka huu japo ninashaka kidogo kama majina walioyatoa sio ya kubuni
   
 5. k

  kdany Senior Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 150
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  inaweza ikawa deci hii wakuu,nme download form zao bt na mashaka nao.afu pale juu ya form wameandika LOCAL UNDERGRADUATE FORM FOR LOAN km ckosei.
   
Loading...