Mitihani iliosahihishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitihani iliosahihishwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by msomi kweli, Oct 28, 2012.

 1. m

  msomi kweli Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Leo ndio siku yangu ya kwanza kuandika uzi hapa Jamii Forum, hasa hapa kwenye jukwaa la elimu. Jamani naomba msaada wa kuniondolea hiki kinacho nisibu kwa muda mrefu. Eti kwa nini BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA haliwarudishii wanafunzi mitihani yao mara tu baada ya kusahihishwa? Naomba mnisaidie wadau nini tatizo au kuna nini kinachofichwa ambacho mwanafunzi aliesahihishiwa hatakiwi kukiona? Je mimi kama raia wa Tanzania nataka kulibarisha hili swala natakiwa nifate utaratibu gani kikatiba? nisaidieni wadau
   
 2. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,554
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  mkuu hata vyioni mitihani ya kufunga chuo huwa hairudishwii
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,381
  Likes Received: 991
  Trophy Points: 280
  msomi kweli kweli wewe,
  kwanza kabisa si kazi rahisi kuirudisha mitiha hii mashuleni as yote hukusanywa na kusahihishiwa eneo moja, gharama ya kurudisha vituon ni kubwa na pia haina maana manake mtahiniwa unamkuta wapi tena?

  pia itakuwa na maana gani tena kwa mtahiniwa husika? mnake nafikiri tufanye jambo tukiwa na mantiki nyuma yake. haina mantiki yyte ile kuirudisha kama tu leaving certificate wapo wasio zifuata sembuse mitihani ilo kwisha fanywa na mtu akavuka hiyo stage?

  kama unamalalamiko juu ya usahihishaji wa mtihan wako nenda ka appeal baraaza watauhakiki ka kusahihisha upya.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mkuu sizani kama kunaumuhimu wakurudisha hiyo mitihani, maana hata watahiniwa wenyewe sidhani kama wataenda ichukua hata wakienda wataifanyia nini??
  pia hili litzepusha mambo mengi kama vile
  1. gharama za usafirishaji wa scripts
  2. inawezekana mwalimu alifundisha ndivyo sivyo leo umekosa swali mija tu likakusababishia ukose pass mark huyo mwalimu mmtachukuliaje??
  3.marumbano baina ya wasahihishaji na watahiniwa.

  pia kama unahitaji karatasi zako nenda NECTA watakupatia
   
 5. m

  msomi kweli Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Gharamaaa? Walimu wamefundisha vibaya? Jamani hebu tuzidi kufungua bongo zetu... WAKUU
   
 6. m

  msomi kweli Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hiki ndicho kinacho sababisha Tanzania kukosa maendeleo kila mtu amelishwa kitu kile kile kwenye sector zile zile. HIVI KWELI HAKUNA MAANA KWA mwanafunzi wa sekondari kurudishiwa mitihani yake? kweli?
   
 7. m

  msomi kweli Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mkuu rombo kwa chuoni sawa kwa sababui mara nyingi chuoni muhura ukipita basi zile mada huwa hazijirudii lakini jaribu kufikiria huku chini A/level na O level vitu ni vile vile. Iangalie hiyo Mkuu
   
 8. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mkuu unaona kusafiriaha mitihani ni kazi ndogo sanaeee?? mimi wilayi kwetu kuna shule za secondary zaidi ya 50, zingine ziko ndani ya vijiji kabisa leo unasema usafiri sio shida?? ukiambiwa ulipie elf 20 ili mitihani yako irudishwe utatoa?? hata kama jibu ni ndio hiyo ni kwako!!
   
 9. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kwani mkuu ukimaliza A-Level hayo masomo utayarudia??
   
 10. B

  Bukutonaga JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi ninashauri mitihani urudishwe lkn si kwa gharama za serikali ila iwe open kama mtu akitaka kuona kazi/karatasi yake kwa maana ya kufika baraza basi wafanye hivyo kuwepo tu na partition kuwa hapa ni mkoa flan na ipangwe kufuata mashule
   
 11. m

  msomi kweli Member

  #11
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kama wanaweza kusafirisha Twiga kwa ndege watashindwa vipi kusafirisha Mitihani kwenye shule hamsini wilayani kwako. Je kuna ulazima gani mitihani yote kusahihishiwa Dar es Salaam.
   
 12. m

  msomi kweli Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hata kama huyarudii lakini kumbuka hii ni haki ya mwanafunzi kwa sababu yeye ndio aliyejibu kwanini wanafanya siri au kuna uchakachuzi kama wa kwenye KURA? lABDA NITATAKA NIMUONESHE MDOGO WANGU ILI ASIJE AKARUDIA MAKOSA NILIOYAFANYA AU AJIFUNZE YALE MAZURI NILIOFANYA
   
 13. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Taja nchi ambazo mitihani (scripts) hurudishwa kwa watahiniwa baadae ndo useme Tanzania kukosa maendeleo.....
   
Loading...