Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ndo juzi tumefungua na ni kua kila mtu katoka kwao hamjuani mana nimda mfupi sana na mfano ni hawa first year tayari ni bond na pairs::::hatukatai mapenzi......Ila kwa mda mfupi na tujadili pia...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
waraka wa elimu no 5 wa 2012 uliosambazwa hivi karibuni unaonesha kuwa form 4 watafanya pepa wiki ya pili ya november na fom 6 wiki ya kwanza mei na fom 5 itaanza wki ya kwanza julai. Ishu hapa ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The executive committee of the Tanzania Food and Nutrition Students Association(TAFONUSA) hosted at Sokoine University of Agriculture under the department of FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY, is...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani za asubuhi kumekucha kwa wale wakristu kama kawa tujiandae kwenda makanisani mimi nasali misa ya pili leo jpil njema kristu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wiki mbili zilizopita dean of students alituambia boom litaingia tukaona kimya,wiki iliyoisha yaani tar 8 hadi 13,wakaitisha kikao jumatatu jion wakatuambia pesa zimeingia na wanahitaji namba za...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
hawa jamaa kweli hawataki utani, A yao inaanzia 80, manaoenda pale kusoma mjue pale ni kama seminari maaskofu hawataki utani
1 Reactions
5 Replies
2K Views
yule mchangiaji maarufu wa hili jukwaa yuko wapi cku hizi:A S-coffee:
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndug wanajukwaa naomba kujua kama kuna mtuambaye ameshafanikiwa kuappeal HESLB kwa sababu nimejitahidi sana kuappeal kwa kufuata maelekezo waliyotoa katika blog yao.Kama kuna mtu ambaye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Zimebakia siku chache for the first tym vijana wapya kwenda kushuhudia na kupata elimu ya chuo kikuu,vijana wanahamu sana ya kufika dodoma university kwakuanza safari nyingine ya makamuzi lengo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Naiomba wizara ya elimu na watanzania wenye uchungu na nchi yetu kuingilia kati mpango wa EZEB(bod ya mitiani ya kanda ya mashariki) wa kporomosha na kudumaza elimu. Bodi hi imeshindwa kutimiza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fungua link hiyo hapo chini kuona list.asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hi wanajamvi. Nimepata taarifa jana zilizonickitish kweli na kuamua ku2pia kwa wana jamvi ili 2jadili elimu yetu inaelekea wapi. Nipo kijiji kimoja mkoani mtwara kwa ajiri ya kuwaletea maji wana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimesikitishwa sana na tabia ya viongozi wa Idara ya elimu idara ya sekondari ya kupunguza baadhi ya wasimamizi wa mitihani kwa kisingizio cha mitihani kupungua.Halmashauri nyingine hakuna mambo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Maajabu yatokea katika foleni ya kupata magodoro kwa mwaka wa kwanza, Dada mmoja azimia katika foleni cha kushangaza baada ya kuambiwa achukue godoro ili akapumzike akapata fahamu" daah ni shida...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
et kuapeal kuusu mkopo n kwa wote ata wale waliokosa ama n kwa waliopata peke yake jaman
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa wale continuous waliokosa mkopo ambao waliomba upya kwa mara nyingine tunatakiwa tuwe na subira majibu yetu yatakuja,hata mimi ni muathirika wa hilo ishu iko hivi,mimi nasoma mlimani ila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani habari za kazi wakuu, Mi naomba mnisaidie namna ya kupata scholarships za Bachelor Degrees. Nataka kusoma kimoja kati ya hivi: Information Technology, Computer Science, na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hello wana jf,naomba kujuzwa kt ya form6 na foundation course hip ina mata ktk kuapply for universities.nimewasilisha.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mara nyingi watu hujisahau sana na kujikuta pasi imeunguza nguo na hivyo kubaki na mabaka meusi ambayo kama ukinyoosha nguo ambayo ni nyeupe, kuna uwezekano nguo kuchafuliwa... Basi mimi binafsi...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
naomba mniambie kwa hawa wa first year izi direct cost tunazolipa,,hata kama una card ya bima lazima ulipe tena medical capitation fee,,,,na udoso tunalipaje,,naomba msaada naelekea bank...
0 Reactions
2 Replies
964 Views
Back
Top Bottom