UDOM boom

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
756
738
Habari zenu wanajamii wenzangu, napenda kuuliza kwa yeyote mwenye taarifa ya boom hapa UDOM atujuze imekaaje, maana wiki ya pili inakatika hii wakati hata dalili hakuna, na hali inazidi kuwa mbaya kwetu watoto wa wakulima. Kulikoni?
 
Ngoja niandae matangazo tulianzishe coz mi mwenyewe nshaishiwa alafu naona wananzingua,ela tuliziona kwenye makaratasi na screen had leo hatujazishika.ILA NASIKIA J.5 KITAELEWEKA
 
Ngoja niandae matangazo tulianzishe coz mi mwenyewe nshaishiwa alafu naona wananzingua,ela tuliziona kwenye makaratasi na screen had leo hatujazishika.ILA NASIKIA J.5 KITAELEWEKA

J5 si ndo leo ndugu, bt hata dalili sizioni kama n j5 ijayo kazi itaonekana hapa.
 
Nyie mnazungumzia week ya pili wakati wenzenu hapa IFM tunaenda week ya tatu sasa hata tetesi hatuzisikii,Hali tete!
 
Hapo UDOM kazi kweli kweli.Ukisema uanze kudai kwa kuuliza hawakawi kusema wewe ni CDM.Yaani sisi ilikuwa tunakaa hadi siku wakifurahi wenyewe ndo waweke.Na cha kushangaza HESLB ilishatuma pesa muda mrefu.Mkuu we jibane tu na vijisenti mzee aliyekupa baadaya ya kuuza mavuno ya mahindi na maharage kule kijijini.
 
Wakuu nyie mpo kwny college zipi hapa UDOM?bcoz jana tulisikia tetesi kuwa wamezifeed kwny A/C zetu,leo asubuhi mwanangu mmoja hv yuko kule HUMANITIES akanambia kuwa CRDB a/c ilikuwa na 0 balance lakini leo kaenda kucheki kakuta 651700 baada ya charge ya sh.8000 ya ATM card coz ni a/c mpya,
Kutokana na shauku nikaenda pale CRDB kucheki salio langu,unluckly nikakuta ni sh.5000 tu nilipohoji nikaambiwa ni kweli kuwa kuna batch 1&2 zimetoka za boom kwa wale wa social na humanities,kuhusu COED tuwe wavumilivu,
BOOM LIMETOKA
 
I LOVE YOU SAUT
hapa hakunaga zengwe wala uchakachuzi, boom kitambo lishatoka
 
aiseeee babaangu nasikia hapo jikoni udsm walipata boom lao mapema siku ya kwanza ya kufungua chuo sasa linakaribia kuisha week ya 3 sasa,, udom ccm 2
 
Masela ni kweli boom limetoka ila kwa baadhi ya batch kwa 1st year halafu waliopewa priority ni wale wa CRDB kwanza ila wenye A/C Za wafanyabiasharana wafanyakazi wa umma tunapaswa tuwe na subira tu hakuna ujanja wakuu" HALAFU ISHU YA MAJI HAPA social imekuwa too much au wenzangu wa JF Hapa social hamlioni coz ni block 1 tu ndo linatoa maji.
 
Haya mambo ya ajabu kabisa asee, sasa mshko umekata, afu nilitmia a/c ya NMB cjui hapo itakuaje, boom ltanikta nikiwa hai kweli?
 
Back
Top Bottom