Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ni habari kutoka jijini mwanza ambapo wanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Nyerere watafanya mitihani yao ya taifa wakiwa wamekaa chini kutokana na shule hiyo kumiliki jumla ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tabia hii ya unyanyasaji wa wanyama itabadilika lini? Kila mmoja mwenye uelewa anamchango wa kumuelimisha asiye na uelewa huu ili tatizo hili litutoke. Tazama kiambatanisho, maelezo zaidi juu ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Why is knowledge of a/c terms and concepts useful to persons other than accountants?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wadau naomba kuuliza, ivi kuwa na degree ya computer science (IT) na kuawa na diploma ya cilinical medicine ipi bora kwa soko Tz.!??
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Habari za muda huu great thinkers, kwa wanaoenda chuoni mwaka huu nimesikia habari ambazo sina uhakika nazo juu ya mkopo unaotolewa na bodi ya mkopo kwa wanafunzi wavyuo vikuu kwamba eti katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimewatunuki shahada wanafunzi wasio na sifa katika mahafali ya arobaini na mbili Kwa minajili ya kutunikisha Digrii za awali, Stashahada na vyeti kikundi cha pili saa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za usiku jamani natumain muwazima wa afya nimuone Niweke Hii topic hapa jamvini In short Nina mdogo wangu anataka Kuomba Chou cha kampala unversit kweli amekupenda sana sasa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa Dunia ya sasa tumeona wenzetu wakisoma fan tofaut tofaut na kwa kiwango cha degree ama zaid, ili kurahisisha maisha na kupata fursa zaid, Je hapa kwetu fan zip tatu muhim mtu anaweza kuwa nazo...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
wadau hii imaekaaje kwa udsm kuwafanyia usaili wanafunzi wanaojiunga na masters ya linguistic mwaka huu kwa wale wanotoka vyuo tofauti na udsm ianamaana hawaamini kuwa kusoma vyuo hivvyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hebu nisaidieni jamani hii course ya BACHELOR OF PUBLIC ADMINISTRATION IN RECORDS AND ARCHIEVES MANAGEMENT ina soko tz na hawa watu wanafanya kazi gani na wapi?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Arusha kuna chuo kipya kinaitwa SUYE HEALTH INSTITUTE masomo yameanza leo, nafasi bado ipo kwa waliokosa vyuo vya wizara ya afya, changamka muwahi kabla ya Ijumaa. Piga simu 0754 269625 kwa...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Unaweza kumdu kuwadanganya baadhi ya watu wakati wote, na unaweza kumdu kuwadanganya watu wote nyakati fulani. Lakini huwezi kumdu kuwadanganya watu wote wakati wote. Je, sasa watanzania tuamini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Necta ni chombo muhimu tena sana.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndigana Kali ni ugonjwa hatari unaowapata ng’ombe ukiwa na dalili ya homa kali, kuvimba kwa matezi, upumuaji wa shida na vifo vingi hasa kwa ndama. Ni ugonjwa unaoenezwa na kupe wanaojulikana...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Hatimaye wanaanza kukubali makosa yao JK akiri makosa ujensi wa sekondari za kata Na Jackson Odoyo na Happy Lazaro, Arusha RAIS Kikwete amesema Serikali ilifanya makosa makubwa wakati wa ujenzi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Vijana wachadema mlio vyuo mbalimbali nchi nataka niwashauri jambo moja chama chetu kimekuwa sana kila mtanzania mpenda maendeleo atakiri hilo,ila tatizo tukiwa vyuoni watu tunawekeana hadi visasi...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
KATIKA JINA LA MUNGU BABA, MUNGU MWANA, NA MUNGU ROHO MTAKATIFU ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA ULIMWENGU WOTE NINAKUOMBA UIBADILI, NA UIBARIKI FAMILIA YANGU, KAKA ZANGU, DADA ZANGU, WAZAZI WANGU...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mgogoro mkubwa umeibuka katika Shule ya Sekondari ya Bagamoyo mkoani Pwani kati ya wanafunzi wa Kiislamu na Kikristo na kusababisha Mkuu wa Shule hiyo, Bonus Ndimbo, kuikimbia shule na familia...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Ndugu watanzania wasomi wenu vyuoni hawafai,ukahaba ndio kazi za mabinti,rushwa na ufisadi hautaisha kama hawatabadilika
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ELIMU YA JANDO NA UNYAGO: Sio Elimu ya kuiga mambo ya Mila zingine[hakuna mapokeo ya mila nyingine],ili lenga jamii husika tu. Hakuna Cheti kinachotolewa,bali wote wanafaulu Kumbukumbu ya...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Back
Top Bottom