Binafsi huwa napata sana shida kubaini uwezo wa hawa watawala wetu kifikra katika kutatua matatizo mbalimbali yanayoikabili jamii yetu. Kwa hivi sasa taifa letu limekumbwa na tatizo kubwa la...
WAKATI wananchi wakisubiri kutangazwa na kuundwa kwa tume ya kuchunguza chanzo cha wanafunzi wa kidato cha nne kufeli, Kaimu Katibu wa Mufti Zanzibar, Sheikh Thabit Noman Jongo, amesema chanzo...
NINASHANGAA NCHI YETU INA2MIA NOTI ZA AINA MBILI KWA ZAIDI YA MIAKA MIWILI NA HAKUNA UFAFANUZI WALA SABABU ZILIZOTOLEWA. ETI, HAYA SI MAUJANJA YA WANASIASA KWELI???? NAONA KAMA NI KUBADILISHWA KWA...
Kwa kumbukumbu zangu kama sijakosea, ni zaidi ya miaka miwili sasa imepita huku nchi yetu, Tanzania ikiwaa inatumia noti pesa za aina mbili. yaani kuna noti kubwa na ndogo, mbili tofauti tofauti...
Ni muda sasa nimesikia kuhusu hiki chuo kipya cha kilimo cha katavi. Naomba kujua mambo yafuatayo:
udahili wa wanafunzi ulishaanza?
vipi kuhusu ajira za wahadhiri?
naomba waliopo karibu wanipe...
Wana Jf hamjambo? Asanteni kwa ukaribisho.
Jaman ile tume ya kuchunguza sababu za wanafunzi kufeli mwaka 2010 majibu yake yalifanyiwa kazi au ilikuwa usanii
Habari walimu! Nimedownload leo majina ya walimu waliopangwa post mpya 2013 kuna mabadiliko kwani waliokuwa wamekosa mwanzo wamepata ila pia wale inservice wengi nimeona wametolewa kwenye list...
Aporomosha ufaulu kutoka asilimia 89 hadi 43
na Josephat Isango
WAKATI Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ametangaza majina ya wajumbe wa tume aliyoiunda kuchunguza chanzo cha matokeo mabaya...
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezindua tume maalumu aliyoiunda ili ifanye uchunguzi wa Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yaliyotangazwa Februari 18, mwaka huu na kuwataka wajumbe wake watafute...
Wakuu naomba mawazo yenu, nilifanya mtihani kama mtahiniwa wa kujitegemea na matokeo ndo kama hivyo, Pinda anaunda tume kuchunguza kilicho tokea. Je nisubiri matokeo ya tume ya pinda au...
kwanza kabisa ningependa kuwajulia hali wanajamii wote na tumaini ni wazima,matokeo ya kidato cha nne kama yaliyotangazwa na waziri wa elimu hayakuwa mazuri hicho ndicho vijana wetu walichokivuna...
Friday, March 1, 2013
Walimu wakuu wa shule za sekondari nchini wameitupia lawama serikali kwamba haiwezi kukwepa lawama za matokeo mabaya ya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana kwa kuwa...
mbn tunamtafuta mchawi tunae mfaham.tume iliyoundwa ni kupoteza muda na rasilimali pesa zitokanazo na kodi zetu.matatizo yaliyoko sekta ya elim hakuna kiongozi wa serikali asiye yafaham.corruption...
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
Ukijiuliza kuwa hii nchi ina Serilkali (CCM), lakini bado kuna vitabu vinatungwa na kupitishwa kwa ajili ya kufundishia watoto wetu mashuleni. Mfano kuna "kitabu kimeandikwa namba yoyote ukigawa...
Leo naona humu hekaheka zimepungua sababu kubwa ni kwamba walimu wapya wameenda kuripoti tuna kila mtu aseme kapangwa wapi je kuna maji, umeme,na nyumba? halafu muache usharouharo mpige kazi maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.