Ninaangalia citizen tv wanatoa matokeo ya kenya na shule ya kwanza kitaifa ni moi high school, je majina yanapotumika ktk shule kunajitihada za muhusika kuendelea kuona jina lake halitumiwi kwa...
Jaman matokeo yameniacha vibaya na sitaki kuludia shule,naweza kusoma nini na matokeo yangu ni division four point 33,naomba ushauri maana nahisi kukata tamaa.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo, amesema wizara haina mpango wowote kwa sasa kuhusiana na wanafunzi waliofeli kidato cha nne mpaka pale Tume itakapomaliza kufanya kazi...
Habari za kazi,Shule,kulala nk
Jamaniiiiiiiiii naombeni msaada kuhusu namna ya kupata centre ya kurudia mitihani aw kidato cha nne(wale wa division 0).....Nimeenda makongo nikaambiwa elfu kumi na...
Ndugu wanaJF,
Kuna watu wamepewa hela na kuzunguka kwenye Vijiwe na kwenye Daladala Kazi yao kubwa imekuwa ni kuwaponda Waalimu na Wanafunzi kwenye swala hili la Matokeo ya form four kuwa mabaya...
Tume
itakayo mhoji mwalimu eti kwa sbb wanafunz wamefeli itakuwa imekosea
kabisa,
Wakuu wa shule weng nchn ni maadui kwa walimu wao, maana wanamtumikia
bwana
Serikali ni ya mungu...
Hi wanaJF,
Naomba msaada. Nimejaribu kukokotoa interest rates za fixed account kwenye bank moja hapa nchini kwa kutumia nested if function kwenye excel. Lengo langu, kama sehemu ya kujifunza MS...
Jamani nimeona tangazo la kazi kwa waalimu wa masomo ya Drama, kuna shule ya Drama academy inafunguliwa hapa Dar es salaam. kama kuna mtu yupo interested anaweza tuma maombi kwenye email...
KAAD Scholarships in Germany for Developing Countries, Germany
The KAAD scholarships are addressed to post-graduates and to academics who already gained professional experience and who are...
Kama unafahamu kozi yoyote inayohusiana na masuala ya afya naomba unambie, naomba unambie pia chuo inakotolewa na qualifications zake. Ni muhimu tafadhal
Wakuu wanajf,
huu ni mwezi unakaribia wa nne sasa toka wanabod wa Ugavi Na Ununuzi au Procurement & Supplies wafanye mitihan lakin hadi sasa matokeo hayajatoka!
Nakumbuka mitihani ya PSPTB...
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
Jamani, kwa hapa Tanzania, kuna shule ipi inafundisha kupiga picha, nina madogo nataka kuwapeleka ili waje wakae kwenye studio yangu, tafadhali anayejua naomba anisaidie ni wapi kuna shule ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.