Kuanzia tar 04 machi 2013, zaidi ya wanafunzi 1000 waliohitimu kidato cha sita walianza mafunzo ya Jeshi la kujenga taifa. Ni wazo zuri na sina pingamizi nalo hata kidogo.
Mimi ni mmoja wa wadau...
Habari zenu jamani! Mimi nimepata IV ya 27 na matokeo yangu yalikuwa hivi CIV-F ENG-D GEO-F KISW-C HIST-F PHY-D CHEM-C BIO-C MATH-F Nilikuwa nataka nikasome form five shule za private...
Nikiwa kama moja kati ya wanafunzi tuliowahi kupitia ndanda sec kuna mambo mengi huwa nayakumbuka kutoka pale shuleni hakika yapo mengi sana ila machache kati ya hayo mengi ni;
1. Ngoma ya...
Salamu wana JF. Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo Kahama mjini, shule ipo katikati ya mji. Natafuta mwalimu kutoka Dodoma, Morogoro, Moshi. Tanga au Mtwara ili tubadilishane vituo. Mawasiliano...
Habari wadau,
naomba mnisaidie hivi inakuaje hadi mtu anapata Scholarship kwenda kusoma nje? Je kuna masharti? Kama yapo ni masharti gani?
Natanguliza shukran
nisaidieni wana jf...napata ugum kuchagua hizi courses..naelekea mwaka wa 3 lakn nashindwa nifanye wap option zangu...najua kuna wazoefu watakao nielekeza kutokana na market huko mtaani...
hv elimu yetu(CLASSICAL EDUCATION) inalenga kuwawezesha vijana wetu kutumia rasilimali za tanzania kujiletea maendeleo?hv kuna siku tutakuwa na vijana wenye utalam km wale wa korea,china ama...
Nimebaini kuna idadi ya walimu wanaofanya kazi ya kuendesha pikipiki(boda boda) ili kuingiza kipato. Ayo nimeyabaini wiki iliyopita Musoma baada ya kukodi pikipiki na kubaini dreva wangu ni...
Ugonjwa wa kuku ni ugonjwa wa kuambukiza unaoshambulia zaidi mfumo wa juu wa upumuaji kwa kuku na dbaadhi ya ndege wa porini mfano njiwa. Ugonjwa huu unasababishwa na bakteria wanaojulikana...
Tunajua kuwa matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2012 ni mabovu mno na serikali imeamua kuchukua uamuzi wanafunz wote walio fail warudie mtihan, Program hii itakuwa inaendelea kila mwaka au ndio...
Mwalimu Bernadeta Minja wa kitivo cha Sayansi ya Jamii, Idara ya Uchumi na Biashara UDOM, amefariki dunia jana kwa ajali ya gari akiwa safarini yeye pamoja na mfanyakazi wake wa ndani wakielekea...
jf
habar mm ni mwanachuo wa mwaka wa kwanza hapa moshi bt nina matatizo
na hali ya hewa iliyoniletea matatizo kiafya naomba ushaur ni jinsi gan
naweza kuhamia vyuo vya UDSM,DUCE, chuo cha...
wanajamvi naomba kwa anyefahamu ni chuo gani kilichopo tanzania kinachotoa taaluma ya food interms ya nutrition science or processing iwe diploma level au certficate.
mwalimu
wa kufundisha somo la Kiswahili manispaa ya Bukoba mwenye Shahada au
stashahada anaitajika haraka sana. Utapewa nyumba,chakula na usafiri wa
kutoka kazini na kuja kazini na huduma ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.