Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Muda wowote kuanzia hivi sasa matokeo ya kidato cha nne kwa watahiniwa wa 2012 yanaweza kutangazwa rasmi. Kama kawaida wadau wengi wa maendeleo hususan sekta ya elimu wanatarajia mengi, hata...
1 Reactions
159 Replies
35K Views
Kuna taarifa kutoka kwa wasahihishaji wa mtihani wa kidato cha pili wa mwaka 2012 kuwa HALI NI MBAYA SANA na kuna shule huenda zikakosa kabisa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tatu kwa mwaka...
5 Reactions
82 Replies
26K Views
Akizungumzia kiwango cha ufaulu, rais Kikwete aliwataka walimu wanaotunga mitihani ya shule za msingi, sekondari na vyuo, kuacha kutunga migumu kupita kiasi, kwa kuwa yawezekana kuwa ndicho...
0 Reactions
4 Replies
905 Views
JUMUIYA ya Afrika Mashariki, inakusudia kufanya mabadiliko makubwa ya mitaala ya elimu kuanzia ya msingi hadi ya chuo, ili kuziwezesha nchi wanachama, kutumia mtaala mmoja tu.Akizungumza na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau nimefuatilia sana mijadala na maoni yanayotolewa kuhusu waziri wa elimu aliyepo kwa sasa. Naomba twende mbali zaidi, katika wabunge waliopo ni nani anafaa kuwa Waziri wa Elimu ambaye...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa upande wangu naona yafuatayo yafanyike:1-mitaala yenye kueleweka.2-mwisho kwenda ualimu grade A iwe div three.3-kuwe na pre-form 1 kwa one yr kuwaandaa wanafunz kuingia kidato cha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu. Hii maneno inanipa taabu sana. CONCEPTUAL FRAMEWORK katika kukamilisha concept note ya title yangu wakuu. Naandaaje conceptual framework. Tatizo lipo kwenye relation kati...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Matokeo ya kidato cha nne yamesikisha wengi kiasi kwamba baadhi ya watu wameyasemea kwa uchungu sana na wengine kufikia hata hatua ya kudai tukio hilo litangazwe kama janga la kitaifa. Kati ya...
0 Reactions
1 Replies
994 Views
wadau naombeni kujuzwa inamaana shule ya kibohehe imekatiwa matokeo ya wanafunzi wotee? au kuna uzembe wa shule matokeo yao yasiwe displayed? coz nimeingia naona -----haa!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau naomba kujua hivi nafasi za ajira kwa watu waliosome BED zitatangazwa lini?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naulizia vyuo vinavyotoa diploma ya architecture na mawasiliano yao kama website au namba za simu! Asanteni
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wana taaluma wenzangu anayetaka kusoma Shahada ya Juu (Postgraduate Diploma,Masters na PhD) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) form zimeshatolewa....deadline ni tarehe 30/04/2013 Kazi kwenu
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kwa ujumla Kitaifa Matokeo ya kidato cha nne 2012 ni Haya! Div One ni-1641 Div Two ni -6453 Div Three ni-15,426 Jumla ya Div 1,2 na 3 ni 23,520 Div Four ni -103,223 Div Zero ni -240,903 (60%)...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
NANI MSHINDI?? Elimu ni nguzo muhim sana katika maisha ya binadam maana huondoa ujinga na kuingiza maarifa ambayo ndo msingi wa maendeleo ya taifa, taifa lisilokua na wasomi huishia kuwa maskini...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Kikula Mkuu wa chuo leo kasema chuo kimedahiri wanfunzi wachache kwa jili ya ukosefu wa walimu lakini akasema kwa sasa wameajiri walimu kutoka India,Korea,China,Japan,Marekani,Uingereza wakati...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kutokana na hali ya sintofahamu iyojitokeza hivi karibuni ya mauaji ya viongozi wa dini ya kikristo,(mchungaji Mathayo kule buseresere, padri Mushi kule Zanzibar na kupigwa risasi kwa kwa padri...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Matokeo mabovu kuliko yote ya kidato cha nne kuwahi kutokea katika historia ya taifa la Tanzania yamezua balaa la aina yake baada ya wanafunzi wawili kujiua kwa kujipiga vitanzi hadi kufa. Taarifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka kupata majina yenu na nijenge hoja. Nijenge hoja,kama raia wa kawaida wa nchi hii,kuwa mnapaswa kurudia mitihani ya kidato cha nne. Kama si kutungiwa mitihani mipya basi mrudie mitihani na...
1 Reactions
5 Replies
956 Views
Nina binamu yangu mtoto wa anko kamaliza form four 2012. Matokeo yake siyajui na sikuwa na mpango wa kuyafuatilia. Leo nilikuwa na shida na mjomba na simu yake ilikuwa haipatikani, katika kuulizia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa mtu yeyeto anaye ijua namba mtihani ya itunge sekonari iliyopo kyela mkoa wa mbeya naomba anisaidie
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom