hi wanajamii
Naomba kuuliza kwa hapo Tanzania kuna kituo chochote ambacho kinatoa review class kwa ajili ya hii mitihani ya CIMA hasa kwenye level ya mwisho? au ni mwendo wa online tu? maana...
Pamoja na wadau mbalimbali kuchonga kuhusu mlimani, Vyanzo mbalimbali vya habari vinataja kuwa University od Dar es Salaam ni ya 13 kwa ubora Africa. Na vilevile katika nchi zenye vyuo bora...
Nguvu ya soda inajulikana sku zote,matokeo yalipotoka kelele zilikua nyingi,waliofeli wengi ni watoto wa wapiga kura,naamini hakuna mtoto wa waunda tume anayesoma shule hizo,mpaka leo kama...
Kuna maswali chuo bora,kwa Africa tuwachie Africa kusini,Maendeleo na huduma za jamii vinaendana,nchi zinazoendelea hakuna huduma bora za jamii,Tanzania haiwezi kua na chuobora kwa matokeo ya...
Nisaidieni natafuta shule ya a level Uganda ya wasichana kwa ajili ya binti yangu, anadiv 4 points 27. Kapata hist D, eng C, geo D, bio D, chem D, math D, kisw D. Naomba mwenye ufahamu wowote wa...
naona haya majibu ya kidato cha nne wote yametushtusha na kutufanya tuwaze zaidi,
nini hatma ya hawa wenzetu,
kwa mtindo uliopo sasa wa kusubiri uwe umefaulu masomo matatu ndio uende advance...
Mwl(degree holder) alie ajiriwa mwaka uu na akaanza master mwaka uu.baada ya kumaliza master,je anaweza kupanda mshahara kutoka TGTS D to TGTS H1 moja kwa moja bila kupitia ngazi zingine za...
Naomba msaada wenu wana jf mm ni mwanafunz nilikubwa na hli janga la matokeo mabovu ya csee nimepata dv 4-29 nina d-6 na f moja cjui nifanyeje wana jf naomba msaada plz!!!
Please Click here to enter our website for details Rise Study Advisors- MBBS and Engineering in China
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China...
Wakuu,
Katiika tararibu za masomo ya DIT, unapochaguliwa na serikali kusoma hapo suala la chakula na malazi nayo yanatolewa ama kila mmoja wa hao wachaguliwa wanajitegemea?
Tafadhali kwa anae...
Kiukwel japo nimekuwa nikisoma comments za wadau wa humu JF ambazo zimebase kuiponda na kuipaka matope UDOM lakin mm mdogo wenu ninaipenda sana UDOM na nina ndoto siku 1 nifike hapo kwa kusoma...
Katika hali ya kusikitisha sisi wanachuo wa chuo cha Butimba TTC Tumenyimwa hela kwa ajili ya kununulia vifaa kwenye Mafunzo kwa vitendo(BTP).Pesa tayari zilikuwa zimeshatolewa na wizara ya...
wadau naomba msaada wa kufahamu wapi nimpeleke mdogo wangu kwa hapa dar ili apate pindi la kufa mtu ktk masomo ya arts yote ili arudie vyema mtihan, pia kama unajua kituo kizur cha pepa na...
Bado hali ni ngumu chuo cha ualimu korogwe baada ya wanachuo kugoma kuchukua pesa za kujikimu kwa mafunzo ya vitendo yaani Btp hali hiyo imekuja baada ya kauli ya mkuu wa chuo kupisha kutoa...
Matokeo ya kidato cha nne yalitoka hivi majuzi 2013 shule ya sekondari PEACE inayomilikiwa na meya wa bukoba bw. Anatori amani ilishika nafasi ya pili kimkoa ambapo watahiniwa 213 walifaulu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.