UDSM : CHUO CHA 13 KWA UBORA AFRICA. TANZANIA NI NCHI YA NNE AFRICA Kwa Chuo Bora.

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Pamoja na wadau mbalimbali kuchonga kuhusu mlimani, Vyanzo mbalimbali vya habari vinataja kuwa University od Dar es Salaam ni ya 13 kwa ubora Africa. Na vilevile katika nchi zenye vyuo bora Inaanza South Africa, Egypt, Kenya na Tanzania ni ya nne. Lakini katika orodha hii sikuona IDM ni ya ngapi wala DIT ni ya ngapi. Ngoja niendelee kusearch tuone. Ushahidi huu hapa chini.

Top 100 Universities and Colleges in Africa by the 4icu.org University Web Ranking

1 University of Cape TownSouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
2 University of PretoriaSouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
3 Universiteit StellenboschSouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
4 The American University in CairoEgypt

flags_of_Egypt.gif
5 University of the WitwatersrandSouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
6 University of KwaZulu-NatalSouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
7 Rhodes UniversitySouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
8 University of South AfricaSouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
9 Cairo UniversityEgypt

flags_of_Egypt.gif
10 University of the Western CapeSouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
11 Mansoura UniversityEgypt

flags_of_Egypt.gif
12 University of NairobiKenya

flags_of_Kenya.gif
13 University of Dar es SalaamTanzania

flags_of_Tanzania.gif
14 University of BotswanaBotswana

flags_of_Botswana.gif
15 Université Cadi AyyadMorocco

flags_of_Morocco.gif
16 University of GhanaGhana

flags_of_Ghana.gif
17 Helwan UniversityEgypt

flags_of_Egypt.gif
18 Alexandria UniversityEgypt

flags_of_Egypt.gif
19 Université de la ReunionReunion

flags_of_Reunion.gif
20 Tshwane University of TechnologySouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
21 Universidade Eduardo MondlaneMozambique

flags_of_Mozambique.gif
22 Université Abou Bekr Belkaid TlemcenAlgeria

flags_of_Algeria.gif
23 Makerere UniversityUganda

flags_of_Uganda.gif
24 Université Cheikh Anta DiopSenegal

flags_of_Senegal.gif
25 Université des Sciences et de la Technologie Mohamed Boudiaf d'OranAlgeria

flags_of_Algeria.gif
26 University of ZambiaZambia

flags_of_Zambia.gif
27 University of MauritiusMauritius

flags_of_Mauritius.gif
28 Addis Ababa UniversityEthiopia

flags_of_Ethiopia.gif
29 Université de OuagadougouBurkina Faso

flags_of_Burkina-Faso.gif
30 University of IlorinNigeria

flags_of_Nigeria.gif
31 Polytechnic of NamibiaNamibia

flags_of_Namibia.gif
32 International University of AfricaSudan

flags_of_Sudan.gif
33 University of IbadanNigeria

flags_of_Nigeria.gif
34 University of LagosNigeria

flags_of_Nigeria.gif
35 Obafemi Awolowo UniversityNigeria

flags_of_Nigeria.gif
36 Cape Peninsula University of TechnologySouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
37 Sudan University for Science and TechnologySudan

flags_of_Sudan.gif
38 University of JohannesburgSouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
39 Nelson Mandela Metropolitan UniversitySouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
40 Zagazig UniversityEgypt

flags_of_Egypt.gif
41 North-West UniversitySouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
42 Université Mentouri de ConstantineAlgeria

flags_of_Algeria.gif
43 University of KhartoumSudan

flags_of_Sudan.gif
44 The German University in CairoEgypt

flags_of_Egypt.gif
45 Durban University of TechnologySouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
46 Université des Sciences et de la Technologie Houari BoumedièneAlgeria

flags_of_Algeria.gif
47 Central University of TechnologySouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
48 Université Abdelhamid Ibn Badis MostaganemAlgeria

flags_of_Algeria.gif
49 Université de BatnaAlgeria

flags_of_Algeria.gif
50 Al Akhawayn UniversityMorocco

flags_of_Morocco.gif
51 University of GaryounisLibya

flags_of_Libya.gif
52 Strathmore UniversityKenya

flags_of_Kenya.gif
53 Kwame Nkrumah University of Science and TechnologyGhana

flags_of_Ghana.gif
54 Tanta UniversityEgypt

flags_of_Egypt.gif
55 Université d'AlgerAlgeria

flags_of_Algeria.gif
56 Kenyatta UniversityKenya

flags_of_Kenya.gif
57 Assiut UniversityEgypt

flags_of_Egypt.gif
58 Al Azhar UniversityEgypt

flags_of_Egypt.gif
59 Mogadishu UniversitySomalia

flags_of_Somalia.gif
60 University of BeninNigeria

flags_of_Nigeria.gif
61 Université Mohamed Khider BiskraAlgeria

flags_of_Algeria.gif
62 South Valley UniversityEgypt

flags_of_Egypt.gif
63 Université Gaston Berger de Saint-LouisSenegal

flags_of_Senegal.gif
64 Minia UniversityEgypt

flags_of_Egypt.gif
65 Université Ferhat Abbas SétifAlgeria

flags_of_Algeria.gif
66 Université Djillali LiabesAlgeria

flags_of_Algeria.gif
67 Menoufia UniversityEgypt

flags_of_Egypt.gif
68 Moi UniversityKenya

flags_of_Kenya.gif
69 Université d'OranAlgeria

flags_of_Algeria.gif
70 MISR University for Sience and TechnologyEgypt

flags_of_Egypt.gif
71 Université M'hamed Bouguerra de BoumerdesAlgeria

flags_of_Algeria.gif
72 University of NamibiaNamibia

flags_of_Namibia.gif
73 Université Mohammed V - AgdalMorocco

flags_of_Morocco.gif
74 Université Mohammed V - SouissiMorocco

flags_of_Morocco.gif
75 Université Hassan II - Aïn ChockMorocco

flags_of_Morocco.gif
76 Université Mouloud Maameri de Tizi OuzouAlgeria

flags_of_Algeria.gif
77 Jomo Kenyatta University of Agriculture and TechnologyKenya

flags_of_Kenya.gif
78 Université Ibn TofailMorocco

flags_of_Morocco.gif
79 October University for Modern Sciences and ArtsEgypt

flags_of_Egypt.gif
80 Université de JijelAlgeria

flags_of_Algeria.gif
81 University of LimpopoSouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
82 Université d'AntananarivoMadagascar

flags_of_Madagascar.gif
83 Jimma UniversityEthiopia

flags_of_Ethiopia.gif
84 Université de NouakchottMauritania

flags_of_Mauritania.gif
85 Bayan College for Science and TechnologySudan

flags_of_Sudan.gif
86 Université des Sciences Islamiques Emir AbdelkaderAlgeria

flags_of_Algeria.gif
87 October 6 UniversityEgypt

flags_of_Egypt.gif
88 Mauritius Institute of EducationMauritius

flags_of_Mauritius.gif
89 Université Hassan IerMorocco

flags_of_Morocco.gif
90 Sokoine University of AgricultureTanzania

flags_of_Tanzania.gif
91 Université Sidi Mohamed Ben Abdellah FésMorocco

flags_of_Morocco.gif
92 University of ZululandSouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
93 Université Hassan II - MohammediaMorocco

flags_of_Morocco.gif
94 University of Fort HareSouth Africa

flags_of_South-Africa.gif
95 National University of RwandaRwanda

flags_of_Rwanda.gif
96 Université Ibn Khaldoun TiaretAlgeria

flags_of_Algeria.gif
97 École du Patrimoine AfricainBenin

flags_of_Benin.gif
98 Université du 7 Novembre à CarthageTunisia

flags_of_Tunisia.gif
99 University of MalawiMalawi

flags_of_Malawi.gif
100 Ahfad University for WomenSudan

flags_of_Sudan.gif
Last Site Update: Wed 12 Jan 11
 
Pamoja na wadau mbalimbali kuchonga kuhusu mlimani, Vyanzo mbalimbali vya habari vinataja kuwa University od Dar es Salaam ni ya 13 kwa ubora Africa. Na vilevile katika nchi zenye vyuo bora Inaanza South Africa, Egypt, Kenya na Tanzania ni ya nne. Lakini katika orodha hii sikuona IDM ni ya ngapi wala DIT ni ya ngapi. Ngoja niendelee kusearch tuone. Ushahidi huu hapa chini.

Top 100 Universities and Colleges in Africa by the 4icu.org University Web Ranking

flags_of_Egypt.gif
12 University of NairobiKenya

flags_of_Kenya.gif
13 University of Dar es SalaamTanzania

flags_of_Tanzania.gif
14 University of BotswanaBotswana
[/B]

Yaah neeeh! Tanzania tunaongoza kwa uchakachuaji.... hebu ona kwa makini mwenyewe hapo...:clap2:
 
hapa hatujapanda chochote, elimu ya tanzania imeporomoka. UDSM ilikuwa ya 10 afrika sasa ya 13. SUA ilikuwa ya 30 sasa ni ya 90. Je kunakufanikiwa hapo? Kenya ilikuwa na vyuo viwili tu , Nairobi na jomokenyatta. Sasa kwenye hii list kuna vyuo 6 vya kenya. sisi hatujaongeza ila tumeporomoka. Je ni elimu bora au bora elimu?
 
Hi thread yako nadhani ukujipanga vizuri kufanya utafiti, umesema nchi zenye vyuo vikuu bora Africa inaanza South Africa,Egypt.kenya,Tanzania, sio kweli huu ushahidi wako ni Gossip mkuu, chukuwa huu ushahidi South Africa kuna vyuo 16, Egypt kuna vyuo 16, Algeria kuna vyuo 15, Morocco kuna vyuo 9. nadhani hizi nchi ndio zina hivyo vyuo vikuu bora. Kenya vipo 5, Sudan 5, Tanzania kuna vyuo 2..
 
Hi thread yako nadhani ukujipanga vizuri kufanya utafiti, umesema nchi zenye vyuo vikuu bora Africa inaanza South Africa,Egypt.kenya,Tanzania, sio kweli huu ushahidi wako ni Gossip mkuu, chukuwa huu ushahidi South Africa kuna vyuo 16, Egypt kuna vyuo 16, Algeria kuna vyuo 15, Morocco kuna vyuo 9. nadhani hizi nchi ndio zina hivyo vyuo vikuu bora. Kenya vipo 5, Sudan 5.
Tz vingapi?
Any way, the art of ranking which one comes first depends and is very much subjective to criteria the ranking agent choose!
 
Mkuu ukiwa unatuma post usome kwa makini ....

We do not claim - by any means - to rank organisations or their programs, by the quality of education or level of services provided. The 4icu.org University Web Ranking is not an academic ranking and should not be adopted as the main criteria for selecting an higher education organization where to study.
 
Mkuu ukiwa unatuma post usome kwa makini ....

We do not claim - by any means - to rank organisations or their programs, by the quality of education or level of services provided. The 4icu.org University Web Ranking is not an academic ranking and should not be adopted as the main criteria for selecting an higher education organization where to study.

Thank you very much for telling him. This is a web ranking. It rarely focus on academic quality. Criteria zao sio general kwa ubora...
Nadhani aliyetuma mada kama ni mtu makini analifahamu hilo...
 
mkuu siyo ubora wa masomo au servises zinazotolewa bali ni kwa namna gani chuo inatumia ict katika kutekeleza huduma zake!
 
Kwa mfano phd aliyopewa kikwete tz inapata sifa na inahesabika kuwa na vyuo bora?...........km ndivyo basi tumwongezee rais wetu kipenzi phd za kutosha ili tupande kimataifa au sio wanangu?!
 
Duh, Tanzania na ukubwa wote, na umri wote, na ujanjaujanja wote tuna vyuo viwili tu makini (ndani ya top 100) Africa?! Hongera zao SA, naona wako juu.

Lakini nina wasiwasi na vigezo walivyotumia. Maana kama ni mazingira (planning na hali ya hewa) inaeza kuwa sawa kidogo, lakini kama ni quality, mhmhhmhmh, UDSM pamechoka mbaya. Mazingira ya kusomea hovyo (watu wananing'inia madirishani kupata nondo, mazngira ya kulala balaa (kule mabibo chichemi),

Wakufunzi ndo usiseme.... wamebaki kina Shivji na Lwaitama kupiga midomo majukwaani tu... THEY HAVE FAILED THE SYSTEM. WHY? RENOWNED PROFESSORS ARE AND SHOULD BE PROUD WHEN THEY HAVE STUDENTS (FOLLOWERS) to prolong their philosophy, their legacy, their school of thoughts! Hawa jamaa wanakufa na philosophy zao- Chachage, Haroub, Babu etc! Zamani hawa jamaa walikuwa na walikata mbuga sana na school of thought of University of Dar. Hamna hitu sasa ivi.. kuna patches of feelings of individuals with academic backgrounds and experience in writing, reading and debating, full stop! THEY HAE FAILED TO LINK PHILOSOPHY AND PRACTICE.. Oh, yeah, I said it!
 
Mkuu ukiwa unatuma post usome kwa makini ....

We do not claim - by any means - to rank organisations or their programs, by the quality of education or level of services provided. The 4icu.org University Web Ranking is not an academic ranking and should not be adopted as the main criteria for selecting an higher education organization where to study.

Is it ! if that is the case,whole arrangement is non sense and have nothing to do in universities academic'ranking!!
 
ranking by web..thats very minor,waje mliman kukagua wakae wiki 1 tu,kama UDSM haijawa ya mwisho africa
 
Mkuu kusema kweli nimegundua jinsi watanzania tulivyo, yaani mtu mzima na akili zako unasema udsm ni chuo bora wakati hali halisi unaijua, bongo vyuo vyote ujanja ujanja ndo maana karibu kampuni zote kali decisions makers wanaajiri watu waliosoma elimu bora sio bora elimu huko america na ulaya, angalia kelvin twissa marketing manager zain anavyogombaniwa wakati ana degree moja tu ya huko ohio marekani wakati hiyo udsm na vyuo vingine vya kibongo vinamwaga graduates maelfu lakini hawatafutwi hata kufanya kazi bure, bongo ni usanii tu na to be honest najisikia vibaya sana hata ofisini, am workin at TICTS karibu watu wote wanaonizunguka wamepiga america na ulaya na kiukweli wako fiti but mimi na kadegree changu cha mzumbe na sweetfeart wangu na b com yake ya udsm tunabaki kuwa subordinates tu, kwa hali ya elimu ilivyo tanzania kusema kweli hakuna chuo bora wote magumashi tu, full ujanja ujanja
 
Back
Top Bottom