Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato nne mwaka 2012, nikafanya mtihani na kufanikiwa kupata matokeo haya hapa Civ-D Kisw-C Geo-D Eng-D lit eng-D Hist-C Bios-C Phy-D Chem-D Math-F...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajamii kwanza ikumbukwe kuwa nami ni muhanga, kwani iliniuma sana baada ya kumaliza shule, mambo yalikuwa magumu. Nikafikiria hii siyo fair! Haiwezekani nisome 4 years then hukumu iwe masaa 3...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujua post za form v zitatoka lini na shuleni wataanza kuripoti mwezi wa ngapi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamvi nisaidieni kujua Slip za matokeo za madogo zinatoka lini? Niko mbali na ofisi za NECTA
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wadau heshima kwenu. Nimekuwa nikitamani sana kuwa kiongozi kwenye sekta ya elimu ili niboreshe taaluma kwa vipaji na vipawa nilivyojaliwa na mwenyezi Mungu. Kwa muda mchache ambao nimekuwa kazini...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Hivi kwa mwalimu mwenye diploma na yupo kazini tayari,akitaka kusoma degree nae anaomba kupitia TCU au anaomba chuoni direct ?
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Habar wakuu, Kila nikikaa huwa nazikumbuka sana shule nilizosoma mojawapo ni Pugu sec school,iliyoko jijin Dar ila nje kidogo baada ya kupita Jk Nyerere airport na pia Gongo la mboto, nilifanikiwa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Mara kwa mara nimekuwa nikisikia watu wenye elimu mpaka hata degree holders wakisema kwa mfano: "fulani ni Lecture wa chuo kikuu" au "yule dada amesoma B.Sc. Forest" au "yule kaka ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naombeni mnijulishe kanuni nataratibu za kufuata wkt wa kufanyiwa usaili
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari gani?, mimi nina Mdogo wangu amemaliza kidato cha nne Mwaka jana 2012 kwa bahati mbaya aja bahatika kuchaguliwa ktk shule ya gava, kwa hiyo nahitaji kumpeleka katika shule yeyote...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
whom do you think must be blamed for these shamed form four results.......as for me there are two things involved....one most of teachers in gvt schools hawana uzalendo na kazi zao ila wanachoai...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwalimu kaacha kazi eti mazingira magumu kwa kuwa kwao ni mtoto wa mwisho,na huku hela ya kujikimu kachukua.Hiyo ikoje
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nifahamishe ni lini Tz ilianza kutumia (kutekeleza) sheria za kazi (Labor Laws)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"We need better teachers," a frustrated parent yells. "If you were parents, your kids would be better students," a teacher fires back, with just as much anger and frustration. Parent-teacher...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mi nimefanya mtihani wa form 4 mwaka jana nimepata division 4 ya 27 na matokeo yangu ni haya bio c chem c phy d geo d kis d math f civ f je? hapo naweza kufanya kitu gani ambacho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
je ,kwa kila topic nikiasi gani ?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wadau wa JF. Mimi ni mtumishi wa serikali kwa miaka 8,idara ya elimu nimejiendeleza na kupata shahada ya maendeleo ya jamii.naombeni mawazo yenu hatua zipi nifuate ili niweze kubadilisha idara.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kwakawaida mwanzo wa Mwaka tunalipia hela ya hostel ya Mwaka mzima, lkn cha ajabu ukirudi semester ya pili hawakupi funguo wala godoro mpk ulipe Ada unayodaiwa.vp wananinyima chumba wakati...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jf kunajamaa mmoja anaitwa bernard adam(mzaliwa wa irente mhelo lushoto) amezaliwa lushoto na kusoma lushoto. Kwa sasa anasoma masters of education chuo kikuu cha tumaini makumira mkoani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimefurahishwa sana na taarifa ya kuvuliwa madaraka kwa mkuu wa chuo cha ualimu korogwe na makamu wake. Niwapongeze kwa maamuzi mazuri ila bado wanahitajika kuongeza kasi kwa vyuo vingine...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom