Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari zenu wana JF, Hapa nitaelezea kwa kina mbinu wanazotumia shule nyingi za binafsi ambazo huwa zinafanya vizuri. Mimi binafsi nimesoma shule ya Feza Boys miaka kadhaa iliyopita na kwa sasa...
6 Reactions
9 Replies
22K Views
Heshima mbele wana JF. Nina mdogo wangu amemaliza form 4 juzi, lakini ni mmoja kati ya hao 67% waliopata Div 0, yaani ana point 34!!!!. Hii ni hatari sana kwake, hasa kwangu, maana mimi ndio...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
the tyme will come to make my real life
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Wanabodi, Naomba kuanza kwa kudeclare interest, mimi ni mhanga wa matokeo haya mabaya ya Form IV, nilikuwa na vijana wangu wawili, ambao walichaguliwa kujiunga na shule za kata, wife akashauri...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndio kila mtu kasikia juu ya uozo wa matokeo haya ya vijana wetu. Kwa kweli nchi ipo njia panda kuhusu elimu. Pamoja na uozo huo wa matokeo kilichonishangaza ni matendo au majibu yanayotolewa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MKURUGENZI GREEN ACRES AFICHUA SIRI NZITO na Betty Kangonga WAKATI mjadala wa matokeo mabaya ya kidato cha nne ukiendelea kulitikisa taifa, kashfa mpya ya matokeo hayo imeibuliwa. Kashfa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni makosa na haikubaliki kufanyia utafiti jambo ambalo sababu/majibu yake tayari yapo na yanafahamika kwa watu. Mfano huhitaji kufanya utafiti wa kugundua kwanini unasinsia mchana darasani ili...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Sisi tulio pigwa kiboko leo tunajua umuhimi wa kiboko leo wanafunzi mashureni kwa utovu wa nidhamu ni hali tata na ni zaidi ya walimu sababu kubwa mwalimu hawezi kumgusa mtoto hawa watoto...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuanzia mwaka huu mtihani wa kidato cha pili umerejeshwa kwa lengo la kuchuja watakao ingia kidato cha tatu wawe wamefikia kiwango fulani cha ukomo wa alama za ufaulu.Mpango huu umeingizwa katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba mnisaidie kwa mawazo huyu ni mdogo wangu ameangukia division four ya point 26 na amefanikiwa kupata C mbili tu za chemistry na biology ila physics ana D na yeye ndoto zake ni...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
,..............
0 Reactions
16 Replies
3K Views
  • Poll
Matokeo mabaya ya kidato cha nne, nani alaumiwe A) Serikali B) Walimu C) Wanafunzi D) Social media
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimemsikiliza asubuhi hii mtangazaji wa kipindi cha power breakfast Gerald Hando kwenye jicho la ng'ombe anataka katibu mkuu wa baraza la mitihani aueleze umma wa watanzania kwa nini wanafunzi...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Nimesononeshwa sana na matokeo ya mitihani Kidato cha Nne ya Mwaka huu. Ni dhahiri kwamba kila mwaka kunakuwa na wanafunzi wanaofeli, lakini hili la 66% ya watahiniwa kufeli (kupata Division Zero)...
16 Reactions
75 Replies
13K Views
wengi tumeshitushwa na matokeo ya kidato cha nne 2012,na kumekuwa na maoni mbalimbali na mengi toka kwa wadau mbalimbali wa elimu,moja ya maoni hayo ni pamoja na DK JOYCE NDALICHAKO ajiudhuru au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I was born to save the society that's why i a m a teacher by professional it doesn't mean that i do not have criteria to be employed for the other occupation and actually this is the special duty...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanabodi, Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa, NECTA, kutangaza Matokeo Tata ambayo yalitangazwa na Waziri wa Elimu badala ya Mkurugenzi wa NECTA, Mkurugenzi huyo, Bi. Joyce Ndalichako...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Ndugu, hebu oneni mtiririko wa matokeo ya kidato cha nne; tangu 2009. Mdau mmoja wa elimu kaweka kwenye mtandao.Tuna cha kujivunia? 2012 Form 4 results DIV 1: 1,641 (0.4%) DIV 2: 6,453...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau wa jf naomba mnijulishe tanzania one (T.O) wa form four 2012 ametokea shule gani na pia matokeo yake ikibidi hata shule zilizoko kumi bora
0 Reactions
42 Replies
10K Views
Nlisikia Mwenyekiti wa zamani wa Mnyama Hassan Dalali amerudi shule na alikua anafanya mitihani ya Form four... Vp katusua tumpongeze mzee wetu au Kawambwa kamkwamisha? Sent from my BlackBerry...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom