Choo cha shule
KWA UFUPI
Tafiti zabainisha shule nyingi nchini zina vyoo duni sana ukilinganisha na mataifa mengine Afrika Mashariki. Wasomi wasema vyoo visivyofaa huchangia maendeleo mabaya...
Habari wakuu?
Nahitaji orodha ya vyuo ngazi ya cheti hadi degree pamoja na gharama za hostel kuzunguka au karibu na maeneo yafuatayo; kati ya Kibaha, mbezi ya kimara, Kimara, Ubungo, mbezi beach...
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012. Katika matokeo yangu nimebahatika kupata Div One ya point 11...PHY-A, CHEM-A, MATH-A, BIO-C, Additional MATH-B....ningpenda kujua kati ya A level na...
Salamu wana JF. Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo Kahama mjini. Shule ipo katikati ya mji. Nahitaji mwalimu kutoka manispaa za Dodoma, Morogoro, Moshi, Tanga au Mtwara ili tubadilishane vituo...
Hi all
Tanzania Business School is now offering quality and high practical certificates. It offers certificate in Microsoft Offie, Certificate in Computer Support Technician, and many programs...
Please Click here to enter our website for details Rise Study Advisors- MBBS and Engineering in China
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China...
Mm n mhtm wa kdato cha nne mwaka jana na matokeo kiujumla kuna three moja ya peke yng shulen kwe2.Nmepata three ya 24 Phys:C Chem:C Eng:C Geo:C Math:d Bios:d Ksw:d Hstr:d Cvcs:f . . .Je...
Ndugu wanajamii, hivi kweli ni haki kwa wizara kwenye tangazo lake kuandika kuwa imeajiri walimu wote wenye sifa wakati huo sio ukweli jamani? katika kipindi hiki ambacho inchi inashuhudia anguko...
\
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitangaza Tume ya Taifa ya kuchunguza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 Dar es Salaam jana. (Picha na Yusuf Badi).
WAKATI Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya threads zinazokuwa posted kwenye jukwaa la elimu na mantiki nzima ya neno ELIMU kama wadau hamuamini jaribuni kupitia mada nyingi na nyinyi mtakuwa ni mashahidi wangu.
Necta wametangaza matokeo..jamani watu wamefeli sana, hiki kizazi sijui kinaelekea wapi..hali ni tete!
Hongera kwa waliofaulu, waliofeli ni wao kujipanga sana.
Kwa mujibu wa habari hii chini...
Nimekua nafuatilia mwenendo wa shule hizi za sekondari hasa za kata utendaji wake si mzuri kwakuwa maamuzi mengi hutegemea utashi wa madiwani na watendaji wa vijiji au kata. Nashauri idara hii...
Please Click here to enter our website for details Rise Study Advisors- MBBS and Engineering in China
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China...
Leo ndo siku muafaka kwa kujua kua una supu ngapi,misonge mingapi ama makarai flat.Ni kuomba isije ikawa kama form4.Utakachopata ndo haki yako wala usapeal au mnasemaje wadau
Wakuu naomba kuuliza chuo kipi bora cha afya hapa nchini kwetu Tanzania? Naomba mnijuze ili mtoto wenu na mdogo wenu niweze kukijua ili nijipange mapemaaaaaa! Naombeni msaada wenu wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.