Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nasikia masters za open university kwenye anga za kimataifa haitambuliki na haina soko. Hizo ni tetesi tuu mwenye more info atupie humu.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jaman samahan naomba kufahamu et coz ya diploma of community development inaanza lini? Katika chuo cha st.john dodoma
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu wataalam mbalimbali naombeni mnisaidie notes juu ya tittle hiyo juu ili niandika propasal.Nitumiena hata pamphlets na vitabu mbalimbali vyenye natisi za vita ya Kagera. Natanguliza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Halmashauri (W) ya Bagamoyo pamoja na wadau wengine wa Wilaya ya Bagamoyo wanakazi kubwa katika kuinusuru elimu ya wilaya ya Bagamoyo ili isishuke. Kuna sababu nyingi zinazopelekea...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Pata short notes za masomo mbalimbali pamoja na links za site mbalimbali zenye manufaa kielimu.Vilevile humu unaweza ukafanya online discussions na wanafunzi kutoka sehemu mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu hili jambo la ajabu sana kwa taasisi inayojinadi kwamba inatoa elimu fulani halafu inademonstrate kiwango kibovu kabisa kwenye taaluma hiyo hiyo. VETA wanaendesha kozi za Web Designing na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nd. Philemoni Luhanjo ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa baraza la Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine. Hilo lilikuwa ni tangazo la makamu mkuu wa chuo hicho. Ni aibu kwa siasa za nchi hii na uongozi...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
ni jambo la kusikitisha na kuhuzunisha kuona elimu yetu ambayo ilijengewa misingi bora na imara sasa inaangamia. Ikumbukwe kuwa mwalimu julius kambarage aliifanya elimu ya tanzania kuonekana nzuri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TAFAKARI KWA MAKINI Hawa ni wanafunzi wa shule mojawapo ya msingi hapa nchini Tanzania. Wanafunzi wamekaa sakafuni, je kwa mazingira haya tutafika kweli? Je watoto wetu watapenda kwenda shule...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
MADARAJA MAPYA KWA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE: Serikali kwa kupitia wizara ya elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya kidato cha nne. Hapo awali, madaraja yalikuwa ni...
0 Reactions
58 Replies
13K Views
KWA MAANA UBORESHAJI WA ELIMU HAJABORESHA SASA WANAFIKIRI KUWA KIWANGO CHA ELIMU NCHINI KITAONGEZEKAAAAAAAAAA....???? HUU NI UMBULULAAA CJUITUNAELEKEA WAPI ITAFIKA KIPINDI NITA JIKANA MIM CIO...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Mambo vipi wadau wa elimu" nimeanza kwa salamu ya kishkaji, si kwamba waheshimiwa sana nimewadharau. Mimi nina maswali mengi kichwani. Na ambayo sijayapatia majibu hadi sasa....... Kinachoniumiza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza ni mpiganaji.Ni role model wa wanawake Alianza kuwa secretary,baadaye alijiendeleza kama ifuatavyo: Certificate in law-Udsm LLB Hons-Udsm fuculty of law. Advanced diploma in women in...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
CHUO CHA UHASIBU ARUSHA TANGAZO Kutokana na Chuo kufungwa, Baraza la Uongozi wa Chuo katika kikao chake cha dharura cha tarehe 03 Mei 2013 kimeagiza wanafunzi wote kuanzia ngazi ya Cheti mpaka...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Have You Been Assigned a Research Proposal… and You are Wondering What to do and How to Write it? What about your Dissertation? The service is available at reasonable rates. Just PM me and we...
0 Reactions
1 Replies
892 Views
"Mlango mmoja unapojifunga basi mingine hufunguka, lakini siku zote tunaangalia na kujutia ule mlango uliojifunga, hali ambayo tunaacha kuangalia ile iliyofunguka kwaajili yetu” - Alexander Graham...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
"Mlango mmoja unapojifunga basi mingine hufunguka, lakini siku zote tunaangalia na kujutia ule mlango uliojifunga, hali ambayo tunaacha kuangalia ile iliyofunguka kwaajili yetu” - Alexander Graham...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Closed
Kwenye local papers moja hapa nchini nadhani mtanzania, kuna barua ya mtoa maoni akilalamikia kuhusu udini w akupindukia huko chuo kikuu cha dodoma, inasemekana kama wewe si mwislamu huna chako...
0 Reactions
225 Replies
27K Views
Kiukwel 2nakoelekea watanzania sio na 2cpokuwa makin 2takuwa 2nazalisha jamii ya wa2 wajinga mana matokeo ya form 4 kurudiwa kuchunguzwa tena kuna uwezekano wa baraza kufanya hujuma ya kuongeza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tusiwe tunalaumu bila kufahamu jambo lenyewe kiundani.Kweli alieshiba amjui mwenye njaa. Matokeo ya mwaka jana ni batili kwa sababu hauwezi ukapandisha alama za wahusika bila kumjulisha au...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom