Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kwanza kabisa naipongeza tume iliyoundwa na waziri mkuu kuchunguza kuwepo kwa matokeo mabovu ya kidato cha nne mwaka 2012 je ni sahihi kwa taasisi mbalimbali zilizojitokeza hivi karibuni kama...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanafunzi wa udsm-duce wanajibiwa kisiasa kuhusu ada kutoka bodi ya mikopo. Wanamaliza kulipa shea zao za % lakini siku wajapo kuchukua matokeo wanaambiwa wanadaiwa .! Sasa jamani ufisadi ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Soma Na Upate Computer Bure!!! Professional Computer User Certificate (PCUC) This is integrated certificate that covers at least every important angle of ICT in order to be a real Computer...
0 Reactions
2 Replies
916 Views
Kweli alieshiba amjui mwenye njaa. Matokeo ya mwaka jana ni batili coz huwe ukapandisha alama za wahusika bila kumjulisha au kumtaalifu muhusika mwenyewe, kuanzia wanafunzi, walimu, wazazi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Researchers turn regular DVD player into cheap HIV testing machine | ExtremeTech DVD discs double as cheap diagnostic kit for HIV - SciDev.Net
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Natafuta shule ya boading Dar nimwamishie binti yangu, shule gani naweza pata ya serikali kati ya wilaya za Kinondoni, Ilala na Temeke?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi buguruni" a" ameamua kwa makusudi kukodisha kwa mtu binafsi darasa la computer pamoja na computer zilizomo kwa mtu binafsi. Darasa hilo lilijengwa kwa msaada wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ALBINO AFUKUZWA SHULE JIJINI MBEYA KWA MADAI KWAMBA NI MCHAWI Amina Mwamkinga alisema tangu tarehe tisa alipofukuzwa bwenini na wanafunzi wenzie wakitaka aondoke shuleni...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Amina Mwamkinga alisema tangu tarehe tisa alipofukuzwa bwenini na wanafunzi wenzie wakitaka aondoke shuleni hapo wakimtuhumu kuwa mchawi majira ya usiku hali iliyomlazimu kuomba hifadhi kwa mlinzi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
ni kwl ama kutishana
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Hii imetokea Morogoro manispaa, kuna mwalimu anafundisha shule A (sipendi kutaja jina la mwalimu au shule) kama mwajiriwa wa serikali, somo la jiografia, harafu anafundisha muda wa ziada (part...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndani ya wiki kama mbili zilizopita vyuo vingi vya elimu ya juu nchini vimekuwa vikifanya chaguzi mbalimbali ili kujipatia viongozi watakao waongoza kwa misingi ya sheria na utawala bora katika...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mimi ni mwanafunzi wa Dar es salaam Institute of Technology mwaka wa kwanza nachukua computer engineering. lakini kuna kitu kimoja kinanisumbua kwanini wasomi wetu hawajulikani/hawatoi mchango...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii imetokea Morogoro manispaa, kuna mwalimu anafundisha shule A (sipendi kutaja jina la mwalimu au shule) kama mwajiriwa wa serikali, somo la jiografia, harafu anafundisha muda wa ziada (part...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Ukweli ni kwamba nyoka mwenye vichwa viwili yupo, lakini ni wachache sana. Hawa nyoka ni kama mapacha walioungana au unaweza kusema kuwa ni nyoka mmoja mzima lakini ana vichwa viwili vilivyokaa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
yaani tume haijasema mwalimu atashawishikaje kukaa muda mwingi shule akiwatrain watoto
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Wana JF salaam sana. Naomba mwenye anajua anisaidie-Dar es salaam Institute of Technology(DIT) ipo barabara gani. Ahsante
0 Reactions
2 Replies
863 Views
Baada ya Uchunguzi nilioufanya kwenye miji mbali mbali hapa nchini yenye vyuo vikuu nimegundua kuwa wasichana walio wengi wa vyuo hivyo hujiuza ili waweze kupata namna ya kujikimu. Mwanza, Chuo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chuo kikuu cha Kampala tawi la Tanzania (KIU) kimefungiwa na TCU kutoa mafunzo yote ya shahada za juu (Postgraduate) ikiwa ni pamoja na Shahada za Uzamili (Masters) na Shahada za Uzamivu (PhD)...
0 Reactions
29 Replies
50K Views
Back
Top Bottom