Wasifu wa Mhe Sophia Simba kielimu...

Mkali wa Leo

Member
May 27, 2011
85
3
Kwanza ni mpiganaji.Ni role model wa wanawake
Alianza kuwa secretary,baadaye alijiendeleza kama ifuatavyo:
Certificate in law-Udsm
LLB Hons-Udsm fuculty of law.
Advanced diploma in women in law
Master of science in community development-Hemphshire college of USA.
Ukitaka ukweli angalia kwenye cv za wabunge.Taarifa hizi zipo kwenye bunge website.
lecturers wake ni pamoja na prof.shivji,prof Fimbo,Prof.Shaidi.
Hivi mnajua hata prof.Anna Tibaijuka alianza kazi kama secretary badae akajiendeleza.
 
Ni mpiganaji,Ni role model wa wanawake.
Alianza kuwa secretary baadae akajiendeleza km ifuatavyo;Amemaliza certificate in law-Udsm.
LLB Hons-Udsm fucult of law.
Advanced diploma in women law\Master of science in community devl-Hemphshire of college of USA.
Ukitaka ukweli angalia kwenye cv za wabunge.Taarifa hizi zipo kwenye bunge website.lecturers wake ni pamoja na prof Shivji,prof Fimbo.Hivi mnajua hata prof. Tibaijuka alianza kazi km secretary akajiendeleza?ww je unajiendeleza au unapiga domo tu.
 
Ni mpiganaji,Ni role model wa wanawake.
Alianza kuwa secretary baadae akajiendeleza km ifuatavyo;Amemaliza certificate in law-Udsm.
LLB Hons-Udsm fucult of law.
Advanced diploma in women law\Master of science in community devl-Hemphshire of college of USA.
Ukitaka ukweli angalia kwenye cv za wabunge.Taarifa hizi zipo kwenye bunge website.lecturers wake ni pamoja na prof Shivji,prof Fimbo.Hivi mnajua hata prof. Tibaijuka alianza kazi km secretary akajiendeleza?ww je unajiendeleza au unapiga domo tu.
Kampeni za uchaguzi wa UWT!! Ngoja na Kilango naye aje aseme alianzia ualimu wa Kisutu, akafanya kazi ATC, akaachwa na mwanamume huku akilea watoto mwenyewe kwa kuuza nyanya gengeni, nk. (Niliyasikia haya kwenye kipindi cha TBC1 alipokuwa akihojiwa na Suzane Mungy)
 
Mfano bora wa mafanikio ya ile sera ya kisomo cha watu wazima. Sijui ilifia wapi!
 
Sera nzuri za Enzi za Mwalimu kuhusu "Kisomo chenye manufaa", UPE, "Elimu ya Watu Wazima" . Hivi uchuguzi wa UWT ni lini vile ?
 
Safi sana kweli ni mwanamke mpambanaji, toka secretary hadi, Masters!!!!!!! na sasa waziri, kweli nampa big up saaaaaana
 
SalutationHonourableMember picture
1234.jpg
First Name: Sophia
Middle Name: Mattayo
Last Name:Simba
Member Type:Special Seat
Constituent: No Constituency
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 3448, Dar es Salaam
Office Phone: +255 777 787 710/+255 784 282 677
Ext.:
Office Fax: +255 22 2112538
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
University of Dar es SalaamLLB (Hons.)19871994GRADUATE
Ilonga Middle SchoolPrimary Education19611964PRIMARY
Kibosho Secondary SchoolA-Level Education19681969SECONDARY
MekanForbidant College-SwedenInformation Studies19821982CERTIFICATE
University of Dar es SalaamCertificate in Law19821987CERTIFICATE
University of ZimbambwePostgraduate (Women's Law)19961997POSTGRADUATE
New Hemphshire UniversityMSc.(Community Economic Development)20052007MASTERS DEGREE
NBC Secretarial CollegePitman's secretarial CertificateCERTIFICATE
Kilakala Primary SchoolPrimary Education19581961PRIMARY
Forest Hill Secondary SchoolO-Level Education19661968SECONDARY
CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
Ministry of Community Developmentr, Gender and ChildrenMinister2010Todate
The Parliament of TanzaniaMember - Special Seat20102015
Ministry of Community Development, Gender & ChildrenMinister20062/8/2008
The Parliament of TanzaniaMember - Appointed by President20052010
President's Office - Good GovernanceMinister2/13/20082010
The Parliament of TanzaniaMember - Special Seat19952005
Dar es Salaam City CouncilCouncilor19941996
Metal Engineering Industries Development Organization (MEIDA)Legal & Administrative Officer19921997
Metal Engineering Industries Development Organization (MEIDA)Administrative Officer19831992
TANTRUST Ltd.Administrative Assistant1979
National Development Coorporation (NDC)Administrative Assistant19711979
Metal Engineering Industries Development Organization (MEIDA)Ag. Executive Director
Arusha International Conference CentreDirector
Air Tanzania CorporationDirector
Empowerment Movement Club (NGO)Chairperson
Parliamentary Standing Committing on Community DevelopmentChairperson
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember - National Executive Committee(NEC)2007Todate
Chama Cha Mapinduzi, CCMUWT-Chairman(Upanga West branch))1994
Chama Cha Mapinduzi - CCMCity Councilor19931995
Union of Women Tanzania - UWTSecretary (UWT-NDC branch)1973
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember of the board(NDC Branch-CCM)1973
PUBLICATIONS
Description Published Date
No items on list
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
 
kuna taarifa tuliletewa hapa jana kuhusu yeye ndio mmekuja kumsafisha??ukweli unauma
 
mbona sijaelewa kwenye degree (1987-1994) inamaana alitumia miaka 7 kusoma degree ya kwanza? naomba nijuzwe
 
Mi kwa kweli siielewi hii CV, kama ni imekosewa au imechakachuliwa ama la. Nitatoa mifano michache ya mapungufu ya wazi ambayo hayapaswi kuwepo kwenye CV ya anayejiita msomi. 1. Primary education - kasoma miaka 3 (1958-1961). 2. Certifacate in law udsm-kasoma miaka 5 (1982-1987)sijawahi kuona chuo chenye registration period ya miaka 5 kwa a mere certificate. 3. O-level imepigwa kwa miaka 2 (1966-1968).
CV ya kiongozi kama huyu hapaswi kuwa na maswali ya wazi kiasi hiki.
 
Sofia Simba si role model kama unavyompamba bali mtetezi wa mafisadi ambaye ni mbinafsi. Hupenda kupayuka hata bila kupima hoja. Pamoja na kisomo chake, Sofia ni mojawapo wa mawaziri wa hovyo katika baraza la mawaziri la sasa. Kama kweli ni role model kwanini anategemea kuingia bungeni kwa viti vya kudhalilishana vya upendeleo ambavyo wengi huviita vya chup... God forgive? Hata hivyo ujumbe umetua.
 
haonekani kiutendaji wanawake bado wanateseka wala hajaweza kuwaunganisha wanawake kuwa kitu kimoja japo kuwa ana psychology ya women affairs
 
nlimsoma ktk interview yake moja alikua anahojiwa na MWANAHALISI mwaka jana...ana certificate ya law tu...hayo mengine mmeongeza...shame on you!!
 
Mi kwa kweli siielewi hii CV, kama ni imekosewa au imechakachuliwa ama la. Nitatoa mifano michache ya mapungufu ya wazi ambayo hayapaswi kuwepo kwenye CV ya anayejiita msomi. 1. Primary education - kasoma miaka 3 (1958-1961). 2. Certifacate in law udsm-kasoma miaka 5 (1982-1987)sijawahi kuona chuo chenye registration period ya miaka 5 kwa a mere certificate. 3. O-level imepigwa kwa miaka 2 (1966-1968).
CV ya kiongozi kama huyu hapaswi kuwa na maswali ya wazi kiasi hiki.

ndani ya miaka minne amesoma mpaka a level! Angalia ameanza forest 66-68, kibosho 68-69. Kwa miaka ya zamani huku ni kufoji na kudanganya umma. Labda watujibu waliosoma udsm law enzi hizo, llb ilikuwa miaka saba? Hata md haikuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom