Walitangaza kupitia vyombo vya habari toka tarehe 29/04/2013 kuwa ifikapo tarehe 01/05/2013 watakuwa wamefungua kupokea maombi mapya kwa mwaka 2013/2014.Kinachoshangaza mpaka sasa tovuti yao haina...
Baada ya Uchunguzi nilioufanya kwenye miji mbali mbali hapa nchini yenye vyuo vikuu nimegundua kuwa wasichana walio wengi wa vyuo hivyo hujiuza ili waweze kupata namna ya kujikimu. Mwanza, Chuo...
Watu hawatafikiria vibaya endapo utafeli, huenda watu wakakushangaa kwa kule kutojaribu mbinu za kufanikisha ndoto zako. Ukweli ni kwamba, watu hao watakuheshimu kwa kujaribu kwako.
Kitu kikubwa...
Baada ya wanafunzi wa kidato cha nne kushindwa mitihani yao, sasa serikali ya CCM imeanza kuyachakachua matokeo ya mtihani ili kuficha aibu. Je, hii ndiyo njia ya kutatua matatzo ktk elimu? huu ni...
Kumekuwa na malalamiko ya mara kwa mara ya wanafunzi wanaosoma katika chuo hiki.Matatizo hayo ni pamoja na kutokusikilizwa kwa matatizo yanayowakumba chuoni hapo,kucheleweshwa kupewa mikopo yao...
wakuu bodi ya mikopo ilitangaza watu waanze kuapply mikopo tarehe 1/05/2013..nimekua nikisajili wanafunzi ili wapate mikopo huu mwaka wa tatu sasa...ila kuanzia tarehe 1/05/2013 najaribu kuingia...
Its true that there are people, according to their deeds to others, they were and they are not supposed to live. It seems as if they should not begotten at all.
Habari wanandugu! Naomba msaada wa hatua za kufuata na vitu vya kuambatanisha kwa mtu ambaye alikosa mkopo mwaka jana wakati anaanza first year,na anahitaji kuomba tena sahivi. Akhsante
Husika na kichwa cha habari.
Naomba kuuliza hv mwajiri wa walimu ni nani? Je ni TAMISEMI,?? MKURUGENZI WA HALMASHAURI? WIZARA YA ElIMU??? TSD(teachers servise department)?? Au Ofisi ya utumishi...
Wadau mtakumbuka mwezi Agosti. wakati wa bajeti ya Wizara ya Elimu Mh Waziri alimtambulisha kamishna mpya wa Wizara hiyo Prof Bhalalusesa, hivi huyu mama ameshaanza kazi rasmi na je katika hili la...
SHULE YA ITENDE SEKONDARI ILIYOPO MBEYA, INATANGAZA NAFASI ZA KUHAMIA KIDATO CHA 6, MWAKA WA MASOMO 2013/14-
ADA PUNGUFU SANA (KIDATO CHA 6 TU) SH. 250,000 KWA WANAFUNZI WA KUTWA
ADA YA KUTWA...
Nathubutu kusema kuwa matokeo ya kidato cha 4 yaliyotangazwa awali na NECTA kupitia kwa waziri wa elimu Dk. Kawambwa ndiyo matokeo sahihi kwa wanaopenda maendeleo ya elimu hapa nchini...
Wakati taifa linaelea juu juu kwa matokeo ya Kidato cha 4 ya mwaka 2012 nilitegemea Mwenyekiti huyu wa bodi ya NECTA aseme lolote but sijamsikia akiongea lolote au ndo bora liende? Wewe ni msomi...
kwa tetesi za haraka ila msininukuu kutoka mamlaka husika nayo pia yachakachuliwa tena kuongeza haja za wanasiasa kama kinachotokea kidato cha nne sasa.mwenye fununu hembu funguka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.