shule ina madarasa matatu ndani ya miaka 10 bagamoyo.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,853
Kwenye gazeti la majira wameandika kwamba kuna shule ya Msingi huko bagamoyo ambayo ina madarasa matatu tu. na hiyo shule ina miaka kumi tangu ianzishwe. Kumbuka bagamoyo si mbali kutoka ikulu ya dar es salaam na ni nyumbani kwao na rais wa Tanzania. kama hapo bagamoyo ndo hivyo je kule kwetu kanyamahela hali ikoje?.
Hii ni aibu kwa ccm. mia
 
Niaibu kubwa sana ........ila ndo maajabu ya nchi hii chini ya utawala wa ccm!
 
Bagamoyo ni jimbo la waziri wa elimu na ni nyumbani kwa Rais wa JMT.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom