Mtoto wa kaka angu anatafutiwa shule. Kwa wale wa Tanga mjini secondary gani ni nzuri kujiunga form one O level. Hata ikiwa day sio mbaya. Kama boarding ndio poa sio mbaya pia
Asanteni
mimi nasoma shahada ya kwanza ya ualimu ..Bed-English...niko mwaka wa 3.. ningependa sana kusoma postgraduate diploma ya international relation management... kuna chuo Tanzania? na nitapata ajira...
Ndugu zangu, sijaona mahala pa kuuliza nikapata msaada kama katika jukwaa hili la wanajamii, watu walioelimika na walio na mapenzi ya kuwasaidia wenzao. Sasa jamani ndugu zangu nahisi sitoweza...
Jamani naombeni mnisaidie maana nina mwezi wa tatu sasa nafuatilia translation ya cheti change tcu bila mafanikio na bila taarifa inayoeleweka, naombeni mwongozo ni wapi naweza kusaidia badala ya...
I know our 8-4-4 system is not any better but reading news that 12,000 students sat for a national exam while illiterate surely something not right. Unless the news-makers are just being...
Naomba kujua yafuatayo kuhusu shule ya upili mzumbe,msosi,je msosi wao ukoje au n kama shule nyngne za serikali,malazi,wanafunzi wanabebana,kuna upungufu wa vitanda,walim,kuna walim wa kutosha?na...
Msaada tafadhari,mi ni mwanafunzi nahitaji nijiamini katika masomo yangu ili nifanye vizuri
mara nyingi huwa najawa na hofu na kujiona nishafeli ninapomuona mtu kasoma topic ambayo mi sijasoma...
Jaman kwa yeyote anayejua chuo kinachofundisha udereva wa construction machine like caterpillar naomba anielekeze then sio mbaya kama ataniambia,ada,muda wa mafunzo,na mawasiliano ya chuo...
wakuu naombeni mnijuze ni chuo gaani hapa nchini naweza kusomea stashahada ya uzamili (postgraduate diploma) kati ya fani zifuatazo; biochemistry, molecular biology/ biotechnology au anatomy...
Habar bandugu? nimependa kujadiliana nanyi wanafunz kuhusu hii, inawabidi kusoma kwa bidii sn ili kufikia malengo, yaani 2lio kwenye ajira tu maisha yanabana! asa wasio na ajira je...
Wadau wa elimu asaalam aleikum! Tumsifu Yesu Kristo!
Nimebahatisha kuona matokea ya kidato cha 4 mwaka 2013 kuna mwanafunzi kapata alama 7 katika masomo yake ya kidato cha 4.kama ifuatavyo...
wakati idadi ya ufaulu wa wanafunzi kuingia kidato cha kwanza kuongezeka inashangaza kuona baadhi ya watoto kutojiunga na masomo hayo kwa awamu ya kwanza kwa kicngizio cha uhaba wa madarasa,na...
Hi,
Happy new year to all. This is my new year 2014 present. if it does reflect you then your friend or relatives or even colleague.
SCHOLARSHIPS AVAILABLE FOR TANZANIANS 2014/15 ACADEMIC YEAR...
Wana Jamvi, Ni karibu miezi miwili imepita sasa tangia matokeo ya mtihani wa darasa la saba yalipotolewa. Hivi tunakaribia kuingia January lakini Wizara ya Elimu bado haijawapangia shule wanafunzi...
Maoni ya Katuni
Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) juzi imetangaza matokeo ya mitihani ya darasa la saba kwa watahiniwa waliomaliza elimu ya msingi mwaka huu...
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.
KWA UFUPI
WASICHANA WAPASUA, WALIOPATA ALAMA ‘D' NAO WAENDA SEKONDARI
Beatrice Moses na Ibrahim Yamola
SERIKALI imetangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.