majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,093
- 1,500
wakuu naombeni mnijuze ni chuo gaani hapa nchini naweza kusomea stashahada ya uzamili (postgraduate diploma) kati ya fani zifuatazo; biochemistry, molecular biology/ biotechnology au anatomy? nahitaji sana majibu yenu