kwa hili,nani alaumiwe?

nyamatoke

Member
Nov 4, 2013
31
70
wakati idadi ya ufaulu wa wanafunzi kuingia kidato cha kwanza kuongezeka inashangaza kuona baadhi ya watoto kutojiunga na masomo hayo kwa awamu ya kwanza kwa kicngizio cha uhaba wa madarasa,na baadhi ya watoto hao wanatoka ktk mikoa mikubwa ikiwemo Dar es salaam,morogoro,njombe?katavi,dodoma,mtwara,mbeya na geita.ukizingatia kila mkoa una kiongoz mkubwa serikalini.kwa hili alaumiwe nani?
 

abdulally

Member
Dec 25, 2013
10
0
Kiukweli kwa upande mwingine tunaweza kusema serakali pia ilaumiwe koz huwa hawazingatii suala la elimu hasa vijjini hko ndo elimu inaptikana kwa tabu watto hutembea umbali mrefu kwenda shule na huchelewa kurudi nyumbni pia nakukosa muda wa kujisomea
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom