Mbinu rahisi za kuendesha gari (msaada wenu)

Kagomba

Member
May 21, 2012
15
0
Ndugu zangu, sijaona mahala pa kuuliza nikapata msaada kama katika jukwaa hili la wanajamii, watu walioelimika na walio na mapenzi ya kuwasaidia wenzao. Sasa jamani ndugu zangu nahisi sitoweza kuendesha gari jijini Dar na hata mikoa mingine. Jirani yangu kanunua gari automatic amekuwa akinipa shule ya kuendesha ila kila nikiingia road napata hofu, siwezi kabisa ku control usukani, brake usinambie kupiga reverse na kukato kona
Ananifanyisha mazoezi lakn wapi, moyo unapenda lakn uwezo nashindwa, hzi ni barabara za uchochoroni sijui huko barabar kuu itakuaje
Ndio nauliza wakubwa nifanyeje nijue kuendesha gai?
 
Vumbi

Senior Member
Nov 7, 2010
191
225
Nenda Driving school kwa muda wa mwezi mmoja. Inaweza kukugharimu angalau laki mbili lakini ukimaliza utakuwa na ujasiri wa kuingia barabarani pamoja na mambo mengine ya usalama barabarani.
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,153
1,250

Mkuu aende driving school kwa gari la jirani yake!!!!!?????
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,153
1,250
Ndugu zangu, sijaona mahala pa kuuliza nikapata msaada kama katika jukwaa hili la wanajamii, watu walioelimika na walio na mapenzi ya kuwasaidia wenzao. Sasa jamani ndugu zangu nahisi sitoweza kuendesha gari jijini Dar na hata mikoa mingine. Jirani yangu kanunua gari automatic amekuwa akinipa shule ya kuendesha ila kila nikiingia road napata hofu, siwezi kabisa ku control usukani, brake usinambie kupiga reverse na kukato kona
Ananifanyisha mazoezi lakn wapi, moyo unapenda lakn uwezo nashindwa, hzi ni barabara za uchochoroni sijui huko barabar kuu itakuaje
Ndio nauliza wakubwa nifanyeje nijue kuendesha gai?

Mke/mumewe/ mpenzi wake anayo hii taarifa ya vocational course baina yenu????!!!!
 
educator2025

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
387
500
Hofu ni kitu cha kawaida kwainadmu kila unapotaka kufanya jambo jipya muhimu nenda driving school fundishwa nadharia & vitendo baada ya Muda utazoea ha ya barabarani na uwa deeva mzuri. La muhimu ondoa hofu, usigope kukosea
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom