Habari zenu wana JF. samahani naomba kuuliza eti kuna uwezekano wa kupata kazi ukiwa na diploma ya Taxation na ni field zipi waweza fanya kazi kwa course hiyo..
jaman wana jf,naomben msaada wenu mm nimehitimu kidato cha nne na nimepata dv iii 29 lakin comb yangu n CBG but alama za ufaulu m chemistry C,biologyB na geography D.je?nitachaguliwa kuendelea na...
Nimepata habari za kuaminika toka kwa DEO mmoja mkoani RUVUMA kwamba Walimu wapya wote waliokosa Mshahara mwezi Aprili, watapewa Dabo mwezi huu yaani Mshahara wa mwezi Aprili na Mei. Vipi walimu...
HESHIMA MBELE KWENU HONGERENI KWA WALE MLIOFANYA VIZURI KWENYE HAYA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA NA DIPLOMA NA WENGINE POLENI ... NAIKUMBUKA ILE FURAHA NILIKUWANAYO SIKU KAMA YA LEO KWANZA...
Habari zenu wakuu.
Zikiwa zimesalia takribani wiki mbili hivi watu kumalizia test two zao ili wapate course work nakuingia UE, inayoanza mnamo tar 23 JUNE - 4 JULY ,kipindi hiki huwa nikigumu...
!Hello! Wana jf mi ni mwenzenu naomba mnipe mawazo mimi ni mwalim nataka nikalitumikie Taifa Morogor ila naomba mnisaidie, wilaya gani moro ni nzuri kwa maisha ya mwalimu ili kufanya na kashughuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.