Kwa wale waliomaliza kidato cha sita na diploma wanaotarajia kuingia mavyuoni someni hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale waliomaliza kidato cha sita na diploma wanaotarajia kuingia mavyuoni someni hapa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Maganga Mkweli, May 1, 2012.

 1. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  HESHIMA MBELE KWENU HONGERENI KWA WALE MLIOFANYA VIZURI KWENYE HAYA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA NA DIPLOMA NA WENGINE POLENI ... NAIKUMBUKA ILE FURAHA NILIKUWANAYO SIKU KAMA YA LEO KWANZA NINGEANZA KUTOA MIONGOZO MUHIMU SANA KATIKA KIPINDI HICHI CHA KUTAFUTA UDAHILI KWENYE ELIMU YA JUU KWENYE VYUO VIKUU NA TAASISI ZA ELIMU YA JUU KWENU NYIE KUNA MAMBO MAWILI YA MSINGI KWA SASA

  i)UTARATIBU WA KUDAHILI UNAOTUMIWA NA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA(TCU) YAANI CENTRAL ADMISSION SYSTEM (CAS) JINSI UNAVYOFANYA KAZI NA WEWE UNAVYOWEZA KUTUUMIA KWA AJLII YA ADMISSION YAKO YA CHUO KITU CHA KWANZA KABISA KABLA YA YOTE SOMA KITABU CHA MUONGOZO WA WANAFUNZI WANADAHILIWA CHA 2012/20123 LINK YAKE NI HII TCU WebsiteKITABU HICHI KINATOA MUONGOZO WOOTE WA JINSI YA KUJISAJILI KWENYE HUU MFUMO WA CAS NAMNA YA KUCHAGUA KOZI (Admissions Guidebook for Higher EducationInstitutions in Tanzania... 2012/2013 https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/260358-tcu-guide-book-2012-13-a.html)...
  PIA UKIFUATA KITABU HICHI UTAWEZA KUONA KWA MATOKEO ULIYONAYO UNAWEZA KWENDA KOZI NA CHUO GANI BILA WASIWASI NIPO HUMU KAMA KUTAKUWA NA MATATIZO YEYOTE TUULIZANE TUTASAIDIANA NAAMINI HUMU NDANI KUNA WATU WANA FAHAMU SANA HUU MFUMO

  ii]JAMBO LA PILI NA MUHIMU NI BODI YA MIKOPO HESLB WAO UNAWEZA KUWAPATA KWA KUTEMBELEA WEBSITE YAO YA Welcome to HESLB PIA NA WAO WANA MFUMO WA KUOMBA MIKOPO ONLINE UITWAO OLAS NA WAMETOA TANGAZO AMBALO LINATOA GUIDELINES ZA WAOMBAJI KWA MWAKA HUU ...KWA HIVYO BASI NAWAOMBA SANA NDUGU ZANGU ZINGATIENI SANA HIZI SYSTEM MBILI ILIMSIJE PATA MATATIZO KUHUSU UCHAGUZI WA KOZI ILI NDIO SUALA LA MUHIMU NA KUSIHII KAMA UFAHAMU CHOCHOTE JARIBU KUULIZA NA NAOMBA WAJAMVI TUWE WAUNGWANA KUSAIDIA WADOGO ZETU NA NDUGU ZETU ILI TUWEZE KUOKOA TAIFA LETU AMBALO KILA SIKU ELIMU IMASHUKA THAMANIKUMBUKA KUNA VYUO ZAIDI YA 60 KWA HIYO MNA WIGO MKUBWA WA KUPATA ADMISSION..CHINI NI GUIDLINE ZA WATAKOOMBA MKOPO MWAKA HUU KWA WALE WATAKOSHINDWA KUTEMBELEA WEBSITE YA BODI YA MIKOPO

   
 2. W

  Whitemariam Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina 2.12 EGM vp GEOLOGY naweza kusomea hichi k2?
   
 3. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Minimum entry requirements for Admission into Higher Education Institutions
   
 4. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  wadau kitufe cha register tcu under diploma in teaching ukitaka apply kupitia CAS hakifanyi kazi msaada plse!!!!!
   
 5. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  si unazzungumzia hichi kitu au ... unatumia aina gani ya browser unatumia kuperuzi .. na maananisha ni inter net explorer au mozzilla firefox kufungulia page ya tcu maana mie na gonga vyote vinakubali au unamaamisha nini..?
  Please Fill The Registration Form Below To Create Your Account​

  Select Your Category
  Form 6 Diploma (NTA Level 6) Diploma (Teachers Education) FTC Holders of Foreign Certificates
  Diploma (Teachers Education) Registration Form [TABLE="width: 76%, align: center"]
  [TR]
  [TD="width: 212, align: left"]Selected Category*[/TD]
  [TD="width: 22"][/TD]
  [TD="width: 201, align: left"]Form Four Index Number/Year*
  e.g S0102/2342/1945
  [/TD]
  [TD="width: 20"][/TD]
  [TD="width: 195, align: left"]Postal Address*

  Region/District(Domicile) *
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Nationality*
  [/TD]
  [TD="align: left"]Diploma Reg. Number/Year*
  e.g E0102/2342/2035
  [/TD]
  [TD="align: left"]Email*
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Physical Impairment*[/TD]
  [TD="align: left"]Voucher Number*[/TD]
  [TD="align: left"]Confirm Email*[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]Gender*
  Female Male[/TD]
  [TD="align: left"]Password*[/TD]
  [TD="align: left"]Mobile Number*
  e.g (255)701123456
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: left"]
  (*) : Represents a Required Field
  [/TD]
  [TD="align: left"]Confirm Password*[/TD]
  [TD="align: left"]Confirm Mobile Number*[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2, align: right"][/TD]
  [TD="colspan: 2, align: left"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 6. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  si kwenye hii category tu ni zote kasoro ya kwanza ya form six nafikiri kuna tatizo la kiufundi hapa
   
 7. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  mkuu matumia mosila firefox/opera min
  ishu siyo kufunguka ni pale mwishoni ukishajaza info ukitaka kujirejister kitufe cha rejister hakifanyi kazi@magangamkweli
   
 8. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  nimeshakusoma kamanda naona hili ni tatzio la kwao TCU hopeful wataresort mapema mnoo ... usipanic ni tatizo lao
   
 9. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  kwenye guide book ya mwaka huu page 145 inakulezea vigezo vya kusoma geology mlimani(UDSM) kama unaweza download unaweza kusoma nakuangalia vigezo lakini wanasisitiza uwe umesoma chemistry A-LEVEL kama sivyo lazima uwe na credit ya chemistry O-LEVEL sijaona chuo kingine kinachotoa geology kwenye list hebu cheki hiyo guide book vizuri vigezo vingine ni principal pass ya maths na physics
   
 10. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  Inasikitisha sana
   
 11. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  ni utata ndugu yangu hii elimu yetu inapokwenda sio kuzuri kabisaa
   
 12. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Maganga Mkweli how do I get the voucher(the one being asked on CAS)?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  fuata hii link kuna maelezo
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/248430-vocha-za-tcu-zinapatikana-benki-gani.html

  ila kuna mchango muhimu kwenye hii thread nadhani utawasidia wengi sana

  pia nimecopy kutoka kwenye tcu guide 2012/2013

  hope nimekujibu mkuu [MENTION]gurta [/MENTION]
   
 14. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  UDOM nao wanatoa geolology,hata kama umesoma EGM wanakuchukua,coz kuna watu CBG wanapiga
   
 15. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  inabidi tu angalia vigezo hapo udom then angalie namna ya kuomba
   
 16. W

  Whitemariam Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks wakuu!
   
 17. W

  Whitemariam Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ansate xanaaa..
   
 18. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Naomba wadau mnijuze.hiyo application fees ya 30,000 tshs inacover kozi zote utakazo apply au kila kozi unayoapply uanlipia tofauti,mfano nikitaka kujaribu kozi 8 tofauti natakiwa kuwa na 240,000 ? kuuliza c ujinga
   
 19. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  kweli kuuliza si ujinga na umefanya vyema ...
  Ni hivi kuna vocha inauzwa kwenye benki za nbc kwa ajili ya kufanya application ambayo utaitumia wakati unafanya application inauzwa sh .30000/= na utaitumia kwa kozi zote utazoomba maana unaziomba hizi kozi kwa wakati mmoja kwenye mfumo huu wa cas(central admission system) ..
   
 20. Persie

  Persie Senior Member

  #20
  May 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Maths F,Economics E,Geograph E, vp hapo building economics Ardhi ntapata math's in "O" level ni B
   
Loading...