naona baada ya njaa ya muda mrefu na baada ya malalamiko ya muda mrefu sasa kilio kimesikiwa na mtonyo ushatupiwa ndani ya account za CRDB......mtumie kwa umakini na wengine baada ya wiki tatu ela...
Kama ni mwalimu wa sekondari, masomo ya maths, physics, chemistry, geography na biology na una muda kuanzia Jumatatu hii kwa week 2 basi niPM.
Kuna mtoto wa form two anayehitaji intensive crash...
Habari.
Naombe ushauri , ni chuo gani hapa D'salaam kinafundisha usimamizi wa fedha.
Mfano banking,accountant,nk.Vyuo vimekuwa vingi sana na ni vichache tu
ndio zinafanya vizuri katika ufundishaji...
kwa muda mrefu watanzania tumekuwa tukijitahidi sana kuiga utamaduni kutoka nchi za maghalibi kwa lengo la kujiletea maendeleo lakini tunaiga vitu vingi vya kutufilisi mpaka nch na...
Habari wana Jukwaa La Elimu,..
Nina mdogo wangu anataka kujiunga na kozi za afya kupitia wizara ya afya,.
Mwaka huu utaratibu wa kujiunga umebadilika, maombi yanatumwa Nacte kwa kujaza fomu...
TAASISI ya Sayansi ya Afya ya Chuo Kikuu cha Eckernforde Tanga, inatuhumiwa kuwatapeli wanachuo zaidi ya 115 iliyowadahili na kukaa chuoni hapo miezi sita kisha kuwafukuza kwa madai kuwa hawana...
Habari zenu wakuu,nina mdogo wangu amemaliza fomu 6 mwaka huu,nilikuwa ninahitaji kujua namna ya kutuma maombi
ya mkopo maana naona karibia kila mwaka taratibu zinabadilika nimepitia website ya...
jamani mi nawaomba yoyote mwenye taarifa anipe halafu naomba ushauri mi matokeo yangu ya diploma yanatoka mwezi wa nane je ninaweza nikawahi kuomba nafasi ?
Takribani wanafunzi zaidi ya Elfu 23,000 waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu mwaka huu wamekosa mikopo kwaajili ya kuwawezesha kusoma Elimu ya juu. Hawa ni watanzania na wengi wao ni masikini...
Nahitaji kujua kuhusiana na nini kinahitajika haswa katika swala la msuli coz huwa naskia tetesi za welcom paper ambalo watu huishia kupata negative, 4, 0.5,0. please naomba msaada wa nini nifanye...
Nina mdogo wangu anemaliza kidato cha nne 2013 na matokeo amepata Div III ya 29
Civ-D, Hist-D, Geog-D , chem-D , Bios-D , Math-C, Kisw-B+, Eng-B & Phy-E
Chaguo ni kwenda chuo cha serikali either...
Mkuu wa shule ya sekondari Igoma iliyoko jijini Mwanza bwana Bregrey j. Nyakyuma amesemekana kuongoza shule kwa kuwagawanya makundi walimu wake huku akionesha udhaifu mkubwa kwa upande wa walimu...
Wana jamvi, ninamatumaini yangu kuwa ni wazima. Mimi nimemaliza diploma ya computer engineering nikabahatika kupata ila ya mkataba katika kampuni moja lakini pia mwaka jana niliomba chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.