Jinsi ya kujiunga depo CCP Moshi

uteu

Member
Apr 16, 2014
38
0
wadau naomba mnijuze kuhusu application za kuingia depo na vigezo vyake nina mdogo wangu kamaliza 4m six2008 alipata 3ya 13 alisoma hgk kachoka kukaa kitaani.
 

jagumba

Member
Jun 3, 2014
56
125
Hivi hii tabia ya watu wakishindwa kuuzika uraiani wanakimbilia majeshini itaisha lini? Ona huyu eti kachoka kuchoma mahindi kitaa sasa anataka jeshi la polisi,kwa taarifa yako jeshi letu tuna taka liwe la kisomi hivyo hatu pokei vilaza tena,polisi ni kazi ya kisomi inayo ambatana na sheria , taratibu za kijeshi, hivyo tumegundua kuwa watu wa dizaini yako ndio mnao rudisha nyuma taaluma ya polisi, rudi shuleni ukipata division one omba jeshi la polisi tena tutakuchukua ila kwa hiyo three yako bado huna kiwango cha kufanya kazi hii ya polisi ambayo ni kazi ya kitaalam sana hasa kwa nchi za wenzetu
 

Advocate J

JF-Expert Member
May 24, 2012
3,887
2,000
wadau naomba mnijuze kuhusu application za kuingia depo na vigezo vyake nina mdogo wangu kamaliza 4m six2008 alipata 3ya 13 alisoma hgk kachoka kukaa kitaani.

Mwambie aende chuo kikuu
 

jagumba

Member
Jun 3, 2014
56
125
Advocate j,huyu bwana hana sifa ya chuo kikuu ana ka E kamoja kwenye matokeo yake hivyo aendelee kuchoma mahindi huku akirudia shule ila polisi hatutaki watu wa aina hii kwani hawa ndio wanao tuharibia jeshi haswa.....! Limtu kama hili baadaye lina kuja kuwa likiongozi humu jeshini matokeo yake basi lina ishia kuwa lina toa AMRI za hovyo hovyo tu zinazo tia aibu jeshi kila kukicha, pia Advocate majitu kama haya ndio yanayo fanya hata serikali isitoe mishahara miZuri kwa jeshi, kwani huyu bwana anajijua hana sifa ya uraiani hivyo itakuwa ni ndio afande.....ndio afande.... .bila kutafakari mpaka ina kera!
 

Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,904
2,000
Ndugu yangu, siku hizi hawa watu wanachukua moja kwa moja kutoka vyuoni na Mashuleni hivyo basi unaweza kusubiri na isitokee tena kuchukua kutoka uswahilini. Dogo alifanya vizuri kwanini usimtafutie chuo kisha akaomba mkopo ili kama anataka ataombea huko huko. Fursa zinaanza kubana ni bora umuwaishe huko.
 

amadiora

Senior Member
Jun 5, 2014
149
0
Blaza wasikutishe kama dv hiyo ni ya kweli mbona yupo juu cna mi nipo tumaini university 3rd yr madogo kibao wamekubaliw tcu had three za 17 na mkopo juu dip ndo usiseme unapokewa juujuu. Kaz ya poliz bwan haihitaj akili ni watu wa maguvu na kutumwa tu na kutekeleza without rethinking.acheni uonge kama hamjui mambo.
 

NYEHUNGE

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
343
225
wadau naomba mnijuze kuhusu application za kuingia depo na vigezo vyake nina mdogo wangu kamaliza 4m six2008 alipata 3ya 13 alisoma hgk kachoka kukaa kitaani.

Nina wasiwasi na hayo matokeo,,,yaani III-13 halafu asichaguliwe chuo sio kweli bana. Watu wanaingia mpaka na III-15 na wanasoma kozi nzuri tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom