Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari zenu Wanajamvi, Naomba kujuzwa kuhusu taarifa mahsusi za utaratibu, muda maalum na kiwango cha pesa cha kuwawezesha wanafunzi. Kumekuwa na tetesi nyingi zisizo na uhakika hata wengine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanafunzi waliomaliza ada na michango yote wamezuiwa kufanya mtihani kwa kushindwa kutoa harambee ya ujenzi wa majengo.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
huduma ya ushauri juu ya uandishi wa research proposal, dissertation, na Research data analysis ina tolewa mawasiliano 0754 660061, 0786 660061 email: vicentvicent31@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Lejea na ombi hapo juu..mim ni kijana niliepata bahati ya kuchaguliwa pale out ..shider niliokumbana nayo ni kwamba sina na sijui nitapata wpi matereal.kwa yeyote alie na uelewa naomba anisaidie...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunaomba radhi kutokana na sababu ambazo ziko nje ya uwezo wetu kipindi keki ya taifa kilichotarajiwa,kuhusu masuala ya elimu pamoja na changamoto za upatikanaji wa taarifa hakitakujia leo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kein College of Computing (VETA-registered) offers the following courses with certification and a job guarantee on completion: 1. Computer Repair, Maintenance and Networking 2. Graphics Design 3...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mwenye taarifa yoyote kama majibu ya mkopo yametoka naomba anijuze.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salama wanajamii, naomba mwenye kujua namna ya kudownload prospectus ya SAUT anisaidie. ASANTE SANA.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani wanandanda eti kutakuwa na harambee ya kuchangia ndanda sekondari na kama ipo je itafanyika wapi? lini? na utaratibu wake ukoje jaman,naomba kuwasilisha
0 Reactions
14 Replies
2K Views
KUWA NA MAONO YA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA MAZINGIRA YA UTANDAWAZI (8 – 12TH & 15 – 20TH DECEMBER 2014 – KILIMANJARO, ARUSHA, MWANZA & DAR ES SALAAM) "Mafanikio yako Mikononi mwa Waaminio Katika...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wizara ya elimu,ofisi ya waziri mkuu tamisemim,tantred pamoja na global eductaion link ltd ,watawakusanya watoa huduma za elimu zote nchini katika eneo moja la viwanja vya mwalimu nyerere maarufu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Filamu zenye tafsiri ya Kiingereza kibovu zinatudhalilisha SHARE BOOKMARKPRINTEMAILRATING Posted Jumapili,Novemba30 2014 saa 12:57 PM KWA UFUPI Watazamaji hao hawasemi Kiingereza cha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani, nimeiona video moja kwenye YouTube kwa kweli inatia haya kwa walimu wa nchi hii ambao ni wachapa kazi. Katika video hio inaoneshwa Mwalimu Mkuu wa kike anawapiga watoto bakora kama vile...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Vyuo vikuu vitatu vya Tanzania ambavyo vilishiriki katika mashindano ya mjadala wa Afrika kuhusu Sheria za kimataifa za haki za kibinaadamu yalioandaliwa na kamati ya kimataifa ya shirika la...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Serikali imebaini kiasi cha Sh. bilioni 3.1 zimekuwa zikitolewa kama mishahara hewa kwa walimu wa halmashauri mbalimbali nchini. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jf napenda kuuliza kwamba boom kwa wale transfered students hususan faculty za education(science)lini linatoka mwenye ufaham atujuze Akhsanten
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jumuia ya wanafunzi wa taasisi za Elimu ya juu(TAHLISO) imeipa serikali siku saba kuhakikisha imetoa fedha ya mkopo kwa wanafunzi ya ishirini na nane elfu na thelethini na saba wa mwaka wa kwanza...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni mwanachuo BAED, SAUT - MWANZA CAMPUS. Mwaka huu wa kwanza 2014 nina self sponsorship ila nahitaji kuomba mkopo wa elimu ya juu mwakani, kwa wale wenye uzoefu na haya mambo ninaweza pata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivyo ndivyo hali ilivyo, vijana wanasoma stashahada ya juu(higher diploma) na mafunzo yote hapa yanaendeshwa kwa mfumo wa chuo kikuu academically yaani pindi linapigwa kisha notes ni gharama ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Sijajua ni mazoea au ni malezi, kuna mama mweupe mmoja yupo ofisi ya admission, hana huruma na wanafunzi hata kidogo, mimi nilienda kufanya clearance yangu leo, kumbe vijana wanafanya mitihani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom