Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hivi kuna chuo chochote kinachotoa clinical officer kwa mwaka 1 kwa wale waliomaliza clinical assistant au vyote ni miaka mitatu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba hints za swali hili yaani linahitaji nini na inakuwaje Verbal communication can be complemented by non-verbal communication but not always.discuss this statement by using vivid an clear...
0 Reactions
1 Replies
891 Views
NI SAHIHI KUWATENGA WANAFUNZI WETU KWA KIGEZO CHA WENYE VIPAJI? JUMATANO ya Novemba, 5 2014 Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) lilitangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapendwa wana jf naomba mniorodheshee majina ya shule za kikatoliki za a level za wavulana has a za kiseminari zinazofanya vzr
0 Reactions
11 Replies
4K Views
I-Mount Training Institute (ITI) tunatoa mafunzo ya siku 5 kuhusu kujiandaa kwa maisha kabla na baada ya kustaafu ili kuwawezesha wastaafu kupata mbinu stahiki za kustaafu vyema. Mafunzo yajayo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu zanguni Chonde chonde nisaidieni katika hili... Naomba kujua kama NACTE wanaweza kusajili chuo kikuu kinachotoa degree, kwani katika kuperuzi website yao nimeona chuo kikuu cha ST. JOSEPH...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Ikiwa ni wiki mbili toka wanafunzi wa St John waingie barabaran kupinga mambo mabalimbali yanayoendelea chuoni hapo, leo hii tena walimu na watumishi mbalimbali chuoni hapo wamekuwa na vikao...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Kumekuwa na tetesi kuwa kuanzia mwaka 2015 serikali itatoa posho ya madaraka allowance kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata endapo watakuwa na elimu stahiki. Yaani Mwl. Mkuu...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Jamani mwenye past papers za chemistry na bios a level afanya kuni pm ili tuangalie uwezekano wa kunitumia mdogo wangu ana hitaji sasa plz guys nisaidieni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nashangazwa sana na serikali ya Tanzania kuanzisha shule bila walimu wala vitabu KAZI DOMOKRASIA TU!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu wa kaya naombeni kuuliza, hivi cheti cha form four kinatolewa mwisho kwa marks ngapi? au as long as umemaliza unapata? Nisaidieni nina mdogo wangu binamu alimaliza 2013 alipata div IV 35...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Wadau naomba msaada wa kuupeleka huu usemi wa Kiswahili kwenye Kingereza "Akili huchuma mali, nguvu huchuma maradhi" Nawasilisha mbele yenu wanajopo!
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Nahitaji kufahamu mahali wanapofanya mitihani katika masomo tajwa hapo juu.. mimi nipo Dar Es S alaam contact:0714729460
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wana JF kiukweli nilimaliza miaka kadhaa my first degree katika hicho chuo but what i learnt over ebhana maTA wa pale wanapiga kazi. while i was there niliopt GE na ENG but kuna TA mmoja duh...
1 Reactions
60 Replies
13K Views
Habari wakuu,nategemea kujisomesha Masters nje ya nchi,ningependelea kusoma masters ya Food Quality Assurance and Industrial management.Sijui ni chuo gani cha gharama ya nafuu kinatoa hii kozi ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama jina lako alijafka kutoka HESLB peleka details zako kwa karan wa prof.msofe utawala mkuu ili zpelekwe heslb
0 Reactions
1 Replies
2K Views
CALL FOR PROPOSALS “Managing in an integrating East Africa” The Africa Journal of Management (AJOM) is a peer-reviewed academic journal established by the Africa Academy of Management. It aims...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Nimekumbana na maswali mengi jins ya kutafuta GPA naomba msaada kwa mwenye nao ujuzi plz.
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Independent Examinations Board tunatunga mitihani kusimamia kusahihisha kupanga matokeo kwa shule itakayo au zitakazohitaji MTIHANI SOMO MOJA SH50000/ KUSAHIHISHA SCRIPT MOJA SH 600/ shule...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu Wanajamvi, Naomba kujuzwa kuhusu taarifa mahsusi za utaratibu, muda maalum na kiwango cha pesa cha kuwawezesha wanafunzi. Kumekuwa na tetesi nyingi zisizo na uhakika hata wengine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom