St. Emaculate Private School: Wanafunzi wazuiwa kufanya Mitihani

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,406
Wanafunzi waliomaliza ada na michango yote wamezuiwa kufanya mtihani kwa kushindwa kutoa harambee ya ujenzi wa majengo.
 
maana yangu ni hii: shule ni biashara ya mtu binafsi,kwanini mzazi achangie ujenzi wa majengo kilazima,
 
Back
Top Bottom